Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 845
Na si ajabu huyo bosi alienda pale na vieiti yake! Shame!
Tunanunua kwanza maV8 na choperWatoto wanne wamepotea kwa kuzama katika mto Ruiche na wengine wawili kuokolewa baada ya mtumbwi uliokuwa umewabeba kupinduka na kuzama katika mto huo uliopo Kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji.
Inahuzunisha sanaNgoja walamba asali wanunue ma V8 kwanza