Kigoma yaipiku Dar na madaraja yake ya waenda kwa miguu ya Manzese na Buguruni, yajenga kivuko chini ya Barabara

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno

Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma mkajifunze huko ona Kivuko cha waenda kwa miguu kigoma kilivyokaa vizuri mtu unahamasika kuvuka lile la juu manzese na buguruni puuuuuuu hata hamu ya kulipanda uvuke mtu huna yanawafaa washinda jogging wenye misuli iliyokakama miguuni au wapanda milima kilimanjaro

KIGOMA YAPENDEZA / DARAJA LINALOPITA CHINI YA BARABARA KIGOMA

Mbona hata Dar kipo kivuko cha chini ya barabara?Pita UD kama unaenda Ardhi,ukifika maeneo ya Rev Square,wanafunzi wanapita chini huku magari yanapita juu!
 
Kivuko cha Buguruni hadi watu wengine wamekisusa

Mbona hata Dar kipo kivuko cha chini ya barabara?Pita UD kama unaenda Ardhi,ukifika maeneo ya Rev Square,wanafunzi wanapita chini huku magari yanapita juu!
Mainjinia washirikishe chuo cha ardhi huo ujenzi wa vivuko
Hapo nadhani kwa sababu ndio wataalamu wanapikwa ndio maana wamefanya hivyo chuo kisije dhalilika ingekuwa kosa kubwa kama wangejenga kama Manzese na Buguruni kingeonekana chuo ni bogus
 
Acha kututoa kwenye reli. Sasa hivi habari ya mjini ni Chatoooooooo!
 
Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno

Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma mkajifunze huko ona Kivuko cha waenda kwa miguu kigoma kilivyokaa vizuri mtu unahamasika kuvuka lile la juu manzese na buguruni puuuuuuu hata hamu ya kulipanda uvuke mtu huna yanawafaa washinda jogging wenye misuli iliyokakama miguuni au wapanda milima kilimanjaro

KIGOMA YAPENDEZA / DARAJA LINALOPITA CHINI YA BARABARA KIGOMA​

Labda haujawahi kukiona kile kivuko cha pale cafeteria kilichopo ndani ya UDSM
 
Hata Iringa kioo,Pale chini kutolea Ipogolo Kama unapandisha kwenda mjini.
 
Back
Top Bottom