John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Ccm haitaki Watu wenye akili nzuri kutoka nje ya nchi kuja kuwapa changamoto za kiutawalaWanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024
View attachment 3156601View attachment 3156637View attachment 3156638
PaskaliView attachment 3156640
Tatzo mboga mboga wanaogopa eti wata ingiza mamluki wa kuwatoa ikulu. Mboga mboga wanawaza madaraka tuFaida ni nyingi kuruhusu Uraia Pacha
Kuna raia wengi Marekani na Ulaya ambao Wana asili ya Tanzania, ambao wangetamani kurudi na kuwekeza nyumbani Tanzania
Hata baadhi ya wana michezo, wengi wangeweza kurudi nyumbani na kuchezea timu yetu ya Taifa
Hilo lingefanyika, huenda nasi baada ya miaka 60 ya Uhuru Tanzania ingeshiriki michuano ya Kombe la Dunia.
Najua hatujachelewa, Viongozi wanaweza kuruhusu hili likafanyika
unakasirika na nini sasa gentleman kwa kuambiwa ukweli?🤣Bahati mbaya sana sikaririshwi na binadamu yeyote nipo huru sana! Haya mambo ya vibaraka wa Ulaya na Marekani nimenza kuysikia nikiwa chipukizi wa ccm miaka ya mwisho ya 70 na 80, bado yapo kumbe! Vibaraka wa Uarabuni kama Oman, UAE, Saudia, nk hawapo? Mbn wabongo ni vibaraka tu wa levels zote na wapo tu hapo ndani? Hiyo amani unayoongelea itaharibiwa na Duality ni ipi? Una justification yoyote au ni yaleyale ya kuombea matajiri waishi kama shetani?
Ikiwa wakubwa wanashindwa kuridhia Uraia pacha Kwa hofu ya kung'olewa madarakani basi hawana nia ya dhati katika mapambano ya kumaliza Umasikini wetu.Tatzo mboga mboga wanaogopa eti wata ingiza mamluki wa kuwatoa ikulu. Mboga mboga wanawaza madaraka tu
Mwenzako kaja na hoja ila we ndio tayari?Uraia pacha una faida na hasara zake, kwa Tanzania hautufai.
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Umaskn wetu ndugu mtanzania hawaujui wao wanaangalia matumbo yao tu. Leo toka uwapinge uone kama hawata kupotezaIkiwa wakubwa wanashindwa kuridhia Uraia pacha Kwa hofu ya kung'olewa madarakani basi hawana nia ya dhati katika mapambano ya kumaliza Umasikini wetu.
Uraia pacha ni nyenzo muhimu Kwa Nchi kupiga hatua za maendeleo
Wasiwasi wao Mkubwa ni hofu ya ugaidi pamoja na kukosekana Kwa uzalendo.Na hasara ni zipi?
-Kaveli-
Hahaha..........ndiyo Viongozi tulionao haoUmaskn wetu ndugu mtanzania hawaujui wao wanaangalia matumbo yao tu. Leo toka uwapinge uone kama hawata kupoteza
Ebu elezea hasara zake mjumbe wa shinaUraia pacha una faida na hasara zake, kwa Tanzania hautufai.
Ndipo Nyerere alipofeli AiseeWanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Paskali
Uraia pacha sio suluhisho kwa matatizo yetu makubwa hasa umasikini. Kenya ndiyo inchi ya kwanza Afrika kwa kuwa na Hohehahe kibao pale Kibera na Mathare. Tunahitaji viongoz wenye maona na uthubutu kusimamia Kodi na rasilimali.Ushauri wako ni Mzuri lakini ninacho shangaa Serikali Ya Tanzania kwa nini inaogopa Huo Uraia Pacha? Ungekuwa Uraia Pacha una madhara jirani zetu Wa-Kenya wasingekubali kuruhusu huo Uraia Pacha Bado sisi Wa-Tanzania tuko nyuma kila kitu ingelifaa tuige wenzetu majirani zetu Wa-Kenya walioruhusu Uraia Pacha.
Ni mlolongo mrefu sana na unahitaji hela nyingi sana bossHata hiyo hadhi maalum si imekwama? Au mwenzangu umeisikia tena na mbwembwe zake?
Kwani nani anawahutaji? Umewahi ona Watanzania wakakosa chakula kisa hao mnaowaita diaspora?Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024.
Paskali
Ndio hivyoHahaha..........ndiyo Viongozi tulionao hao