Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
wacha weee..wacha kazi iendelee hadi kazi yenyewe iseme " imekomaaaaa" !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wajinga wametumwa kusema mchuano wa siasa ni kati ya washamba na masharobaro wa mjini. Yote kupotosha wanaharamu fisadi wapite.
Siasa ni mapambano ya kitabaka kati ya wenye nacho na raia wa kawaida au ukipenda walala hoi. Hapo kati kuna tabaka la kati. Ni wafanyakazi au wafanyabiashara wadogo. Hao wanaweza kuungana na wenye nacho kukandamiza tabaka la chini au wanaweza kuunganika na walala hoi / tabaka la chini. Yote inategemea maslahi ya kila tabaka.
Tanzania tabala la chini yaani raia wa kawaida ndio kubwa. Kwa hivyo siasa za kuunga mkono maslahi ya umma hasa kuwaletea maendeleo ya kiuchumi zina nafasi ya kuungwa mkono kwa wingi.
Hata Nyerere na Mkapa wangefia madarakani, watu wangefurahi na wangesema chama kimerudi kwa wenyewe!Tabia zake chafu zinamponza, Mbona Mkapa na Nyerere hawazungumziwi hivi?
Mwambie amshukuru magufuli kampitisha alikuwa hatoboi 2025 ajiaandae kuomba ajira MLOGANZILA mchamba huyuhamisi_kigwangalla
SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera, Geita, Kigoma, Katavi na Tabora. Pichani wajumbe wa Sekretarieti hiyo wakizungumza katika kikao cha majumuisho mkoani Tabora. Kwa hakika Chama kimerudi kwa wenyewe. CC: Komredi @shaka_hamdu_shaka. #HK #KaziIendelee #SiasaNiVitendo
View attachment 2021524
View attachment 2021525
View attachment 2021526
My take: Kwani Chama kilitekwa?
Kigwangala mnafiki sana huyu mtu, kinyonga sana kwa tabia huyu, mnakumbuka wakati Mh. JPM akiwa hai, Kigwangala ndio alikuwa front line, akijifanya Sukuma gang haswa, alikuwa kumsifia JPM kila kukicha, na uwaziri juu alipewa, na hakuwahi hata kudhubutu kuonyesha dalili tu kuwa JPM aliteka Chama.
Leo hii, anaongea kuwa Chama kilitekwa, watu wa aina hii ni wa kuchunga sana, sbb wako ki maslahi zaidi na ni kuwa nao makini. Kauli kama hii angetoa Nape, bila shaka hakuna wa kupinga wala kusema ni kinyonga, ila sio Hamis, opportunist.
Dr. Hamis mjanja sana....anajua kubadili mitizamo kulingana na mazingira yaliyopoHuyu Kigwa mnafiki sana wakati wa Jiwe alisema chama kimerudi kwa wananchi. Sasa hivi je??
Huenda hiyo ndio tabia yetu Watz yaani 'unafiki'.Ni hatari sana Taifa kuwa na vijana kama hawa..
Mbaya zaidi vijana hawa wapo kokote, kuanzia chama tawala mpaka vyama pinzani...
Tabia hii ni yakukemewa na watu wote....
Teh teh teh teh....😂😂😂...we jamaa bhana haaa haaaa haaaa 😂😂😂Mwache huyo sio kama wewe unaeambulia Buku saba Hamisi ameponda raha wakati wa Awamu ya Wahutu alikuwa anachukua Visichana anaenda kuvidinya huko kwenye Mbuga za Wanyamapori huku akimwambia Magufuli kuwa anawasaka Majangili.
Utadhani Majangili walikuwa wanajificha kwenye Nyapu.
Dr. Hamis mjanja sana....anajua kubadili mitizamo kulingana na mazingira yaliyopo
Ukiumwa kisawasawa hutochagua daktari au dawa sana sana utajali afya yako tu.Halafu nasikia ni Daktari eti, ni kweli ? Binafsi siwezi kukubali kutibiwa na daktari low IQ kama huyo, Daktari kutwa nzima mipasho na umbea no substance, sijawahi kusikia, …
Huko kanda ya ziwa ni ngome ya Ccm.Kwa hiyo chama kikiwa mikononi mwa kanda za pwani kipo salama.
Chama kikiwa mikononi mwa kanda ya ziwa KIMETEKWA!
Muda wakunyenyekea mkija kanda ya ziwa myakumbuke haya maneno.
Huwezi kushindana na mama wewe masalia wa mataga.Nakuona chawa promax wa mama unapambana
Kama ndio hivi...huenda Watz ndio wametekwa.Sio Tanzania hii chini ya utawala wa CCM. Wananchi wamesukumiwa pembeni. Wamebaki kuwa watazamaji na wategemea fadhila. Hawana sauti kwenye sanduku la kura, bungeni, kwenye mabaraza ya uwakilishi hata mahakamani.
Mapambano yaliyoruhusiwa ni kati ya makundi maslahi ndani ya chama tawala. Huko ndio kuna vita kweli kweli. Chama kile kile. Unasikia tu leo kiko kwa washamba, kesho kwa watoto wa mjini, … Wananchi wakitaka kutoa kauli bila ruhusa ya watawala wanashushiwa marungu na risasi za polisi.
Hama wewe mtabanana humohumo..who knows after samia atakuja nani?Hawa Sukuma gang ni wa kufyekelea mbali, wameambiwa waanzishe chama chao waingie frontline 2025 wana sitasita, sijui wanaogopa nini wakati wanasema ukanda wao ndio huamua Rais awe nani