Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Daah we jamaa unamajibu kama redioIkiliwa na wengi utakuwa ni Mkate siyo Keki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah we jamaa unamajibu kama redioIkiliwa na wengi utakuwa ni Mkate siyo Keki!
Hahahaaaa......!Daah we jamaa unamajibu kama redio
Ikiliwa na wengi utakuwa ni Mkate siyo Keki!
Hayo ni mawazo yako bwashee!
kumrudisha kigwangallah ndio nitaamini UCHAWI UPO
Huyu mwenye uzi ndio Kigwa mwenye we.
Mjinga sana bwege huyu....Huyu ambae siku ya kwanza tu kafika wizarani akawafungia watumishi wa wizara nje ya geti?
Ana tatizo gani?Kumrudisha Kigwangala madarakani ni sawa na mamlaka ya uteuzi kuwadhihirishia Watanzania kuwa ina tatizo upstairs na haikustahili kuwa ikulu.
Kwa CCM inawezekana kwani wote ni wapigaji tu wanazidiana viwango tuHuyu mwenye kashfa akiwa Waziri apewe tena Uwaziri!!!!!!!!
Kigwangwala kuwa Waziri wa Afya itakuwa kituko kikubwa sana , alipokuwa Naibu wa wizara hii alikuwa anaingia ofisini saa 10 alfajiri na kuwafungia mageti Wakurugenzi wa idara ili waonekane wamechelewa kazini , au umesahau vituko hivi ?Hizi tetesi zimesikika hapa Sanya juu kwenye tukio kubwa la kumsimika Chifu wa Siha Mangi Kileo.
Viongozi mbalimbali wa serikali wapo hapa hivyo tetesi kama hizi siyo za kupuuza.
Mangi Kileo ni miongoni mwa wasomi WANNE wa kwanza wa Tanzania kugraduate Makerere akiwemo pia mzee Cleopa David Msuya.
Mangi Kileo amehudumu serikalini katika nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo Kigwangalla alipata kuhudumu pia.
Lisemwalo lipo kama halipo laja.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Lete ushahidiHonestly, Kigwangalla alipiga kazi Wizara ya Afya.
Mwaka atafurumushwa tenaBwashe unapeleka ujumbe gani kwa Dk Mwaka? Foreplan clinic.😅😅
Inatafunwa na siyo kuliwaHii nchi keki ya Taifa inaliwa na wachache
Absolutely correctHii mambo ya kulamba lamba vyeo na positions za ku-rule over other human beings bila kuzitolea jasho unasubiri uteuliwe ni really ukoswaji wa akili
No human being who needs anybody to rule over him for him to live and endesha maisha yake
Hizi positions na vyeo ni absolutely useless...
As we estimate mpaka mwaka 2800 duniani hakutakua na mfumo unaoitwa serikali,utakua ni useless,human beings hawatataka tena kusimamiwa na mwanadamu mwingine ili society iweze ku-function....
Wanadamu watakua na IQ kubwa kiasi kwamba any idea ya "kiongozi" au cheo fulani itakua ni alien na foreign