Kigwangalla, Msukuma, Ditopile, Lusinde mbona mko kimya hamjamsikia Rais Samia?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Waheshimiwa wabunge Livingstone Lusinde, Hamisi Kigwa. Joseph Kasheku Musukuma, Mariam Ditopile mbona mko kimya hadi sasa hamjamsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu KUKOSOLEWA?

Mbona hamjatoa tamko lolote kumuunga mkono Rais Samia kwa uamuzi wake wa kutangaza kuwaomba watu wamkosoe ili ayaone mapungufu na kuchukua hatua.
 
Lakini mama ametambua uwepo wa chawaaa, tena pande zote 🤣🤣🤣🤣.

Haipendezi mtu mzima kuwa chawa, ni fedheha.
 
Waheshimiwa wabunge Livingstone Lusinde, Hamisi Kigwa. Joseph Kasheku Musukuma, Mariam Ditopile mbona mko kimya hadi sasa hamjamsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu KUKOSOLEWA?

Mbona hamjatoa tamko lolote kumuunga mkono Rais Samia kwa uamuzi wake wa kutangaza kuwaomba watu wamkosoe ili ayaone mapungufu na kuchukua hatua.
Rais Samia Suluhu ameluhusu kukosolewa ila sio kuvunjiwa heshima maana wakosoaji wengi wanamvinjia heshima na sio kukosea ndio maana sisi watanzania wazalendo ambao tunajua ukimtusi Rais umeitusi nchi lazima tukuvae
 
Back
Top Bottom