Kigwangalla na Bashe wamuomba Rais Samia kuanzisha mkoa mpya wa Nzega

Kuongeza mikoa sio tija ,mkapa alipiga chini sera ya afya ya ccm ,akaichukua ya chadema mpaka anamaliza mihula yake miwili

Basi nanyi ccm kibalini nchi iongezwe kimajimbo ,kama chadema wanavyosema
adui number moja wa nchi hii ni ccm.
 
Siye tumeangalia mubashara nyie mnaedit heading zetu JF imeanza kuwa ya hovyo, mnataka tusifie na kuabudu tu eti bora ywende twitter uku mnabudiana tumeona
 
Bangi si chai, hawa vijana sijui walifika vyuo vikuu, ndio sababu huwa nasema tuwape akina Msukuma Kasheku na Lema wame viongozi.
Nchi imejaa ubinafsi ulipitiliza.
 
Population
Kigezo cha opulation ni sawa. Lakini population ya Chato ni ndogo, na kuanza kukata tarafa za Geita na Kakonko iliyoko Kigoma na sehemu ya Muleba ili kuongeza Population ya Chato ni UNDEZI au UPIMBI wa hali ya juu
 
Unajua idadi ya watu wa Wilaya ya Chato pekee kabla hujaweka Wilaya zingine au unaropoka tuu? Wilaya Ina watu zaidi ya 600k harafu unasema ni watu kidogo hao?
 
Hahahaha.Wasomali ni wajanja mno. Nzega iwe mkoa jamani, watamega maeneo na mkoa wetu wa Shinyanga. Tumechoka Shinyanga na Mwanza yetu kumegwa.
Hapana, watachukua kuja igunga na singida...
 
Unajua idadi ya watu wa Wilaya ya Chato pekee kabla hujaweka Wilaya zingine au unaropoka tuu? Wilaya Ina watu zaidi ya 600k harafu unasema ni watu kidogo hao?
Kati ya mimi na wewe anayeropoka ni nani? Hivi unajuwa kuwa Chato iiikuwa sehemu ya Biharamulo ila Dikteta akaikata kutoka Biharamulo kwa hila akiwa Waziri? Unajuwa kuwa alichepusha pia barabara ya lami ambayo ilikuwa ipite Biharamulo, badala yake ikapita Chato.

Sasa kama Chato tayari ina watu 600 na na ni wilaya, nini unataka zaidi?

Kwa nini uipunguze Geita na Kigoma kupata mkoa wa Chato? Huo ndiyo UHAYAWANI ambao hatuutaki
 
Hapana, watachukua kuja igunga na singida...
Hakuna eneo la Singida litachuliwa Bali Igunga,Nzega,Baadhi ya Tarafa za Uyui na Baadhi ya Tarafa za Kaliua ndio walau itatengeneza jiografia nzuri.

Ingekuwa Mimi ndio muamzi Tabora Wala hakuna sababu ya kupigwa Kwa vile Mji wa Tabora uko katikati na unafikiwa na Wilaya zake zote Kwa urahisi kabisa maana ni T-Junction.Tabora ndio Mji wenye junction nyingi hapa Tanzania.

Mwisho kabisa Serikalini iugawe Mkoa wa Manyara maana jiografia yake ililazimishwa tuu.Kuwe na Mkoa wa Kiteto ambao utakuwa na Makao Makuu pale Kibaya na itachukua Wilaya za Kiteto,simanjiro na nyingine zitakazoanzishwa humo ndani maana jiografia na Ukubwa inaruhusu.

Then Mkoa wa Manyara usalie na Wilaya zake za Sasa na Kongwe iende Manyara badala ya Dodoma ndio itakaa sawa.
 
Haiondoi ukweli kwamba nzega kieneo ni zaidi ya nusu ya mkoa wa shinyanga
 
Kwa hii ramani sioni haja ya kuugawa mkoa wa Tabora. Makao makuu yapo centre. Huko Sikonge ambako ndiyo kukubwa kuna watu wachache na asilimi zaidi ya 80 na eneo lake ni mapori ya akiba. Watu wanataka mikoa bila sababu za maana.
 
Ndio maana nasema ukiona rama I hiyo hakuna haja ya Mkoa wa Tabora kugawanywa ni siasa za kipuuzi tuu.

Mkoa wa Ruvuma, Lindi, Morogoro na Manyara ndio igawanywe sio Tabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…