adui number moja wa nchi hii ni ccm.Kuongeza mikoa sio tija ,mkapa alipiga chini sera ya afya ya ccm ,akaichukua ya chadema mpaka anamaliza mihula yake miwili
Basi nanyi ccm kibalini nchi iongezwe kimajimbo ,kama chadema wanavyosema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adui number moja wa nchi hii ni ccm.Kuongeza mikoa sio tija ,mkapa alipiga chini sera ya afya ya ccm ,akaichukua ya chadema mpaka anamaliza mihula yake miwili
Basi nanyi ccm kibalini nchi iongezwe kimajimbo ,kama chadema wanavyosema
PopulationMiundombinu gani? Kwani miundombinu ndiyo kigezo cha kuwa mkoa? Alifanya makosa Mwendazake, kuufanya Chato uwe mkoa ni kuongeza chumvi kwenye kidonda
Siye tumeangalia mubashara nyie mnaedit heading zetu JF imeanza kuwa ya hovyo, mnataka tusifie na kuabudu tu eti bora ywende twitter uku mnabudiana tumeonaKigwangala anaomba Rais aipe Nzega hadhi ya mkoa baadaye anakuja Bashe anasema mama tunaomba unapoondoka 2030 basi wilaya ya Nzega iwe mkoa.
Anakuja Rais anasema nimepokea maombi ya MBashe kuwa kabla sijaondoka 2030 Nzega iwe mkoa.
Akili za kuambiwa changanya na zako Kigwangala huna chak0 2025.
Huyo ndio Bashe kasuku wa siasa ambaye video yake analia anatakiwa kutekwa bungeni haipo popote pale mitandaoni kama unayo, post hapa usaidie taifa.
---
Mbunge wa Nzega vijijini Hamisi Kigwangalla amemuomba Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuwapatia wananchi wa Nzega Mkoa mpya kabla ya muhula wake kutamatika
Ombi hilo ni muendelezo wa ombi lililotolewa jana na Waziri wa kilimo ambaye pia ni Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe
Kigwangalla ametoa ombi hilo wakati wa Ziara ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipo simama kuwasalimia wananchi wa Puge Nzega mkoani Tabora.
Amesema wananchi wa Bukene wanapata tabu ya umbali mrefu kufika katika halmashauri yao kutokea eneo hilo la Puge ambapo ni umbali wa takribani kilometa 180 hivyo angeomba kabla ya ombi la Nzega kufanywa mkoa basi kupatikane Halmashauri ya wilaya ya Nzega pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Bukene.
''Bado tutabaki katika maombi yetu, ambayo jana pia tuliyasema kwamba tungependelea wakati unamalizia muda wako tafakuri yako ikupelekee kutupatia mkoa mpya wa Nzega '' Alisema Hamisi Kigwangalla
Chanzo: EATV
Mlikuwa mnameguliwa na nani? 🤣🤣Sisi Kagera tumekataa huu ujinga, baada ya chato hatutaki kumeguliwa kizembe tena.
Haujui?Kugawa mikoa kuna faida gani?
Bangi si chai, hawa vijana sijui walifika vyuo vikuu, ndio sababu huwa nasema tuwape akina Msukuma Kasheku na Lema wame viongozi.Kigwangala anaomba Rais aipe Nzega hadhi ya mkoa baadaye anakuja Bashe anasema mama tunaomba unapoondoka 2030 basi wilaya ya Nzega iwe mkoa.
Anakuja Rais anasema nimepokea maombi ya MBashe kuwa kabla sijaondoka 2030 Nzega iwe mkoa.
Akili za kuambiwa changanya na zako Kigwangala huna chak0 2025.
Huyo ndio Bashe kasuku wa siasa ambaye video yake analia anatakiwa kutekwa bungeni haipo popote pale mitandaoni kama unayo, post hapa usaidie taifa.
---
Mbunge wa Nzega vijijini Hamisi Kigwangalla amemuomba Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuwapatia wananchi wa Nzega Mkoa mpya kabla ya muhula wake kutamatika
Ombi hilo ni muendelezo wa ombi lililotolewa jana na Waziri wa kilimo ambaye pia ni Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe
Kigwangalla ametoa ombi hilo wakati wa Ziara ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipo simama kuwasalimia wananchi wa Puge Nzega mkoani Tabora.
Amesema wananchi wa Bukene wanapata tabu ya umbali mrefu kufika katika halmashauri yao kutokea eneo hilo la Puge ambapo ni umbali wa takribani kilometa 180 hivyo angeomba kabla ya ombi la Nzega kufanywa mkoa basi kupatikane Halmashauri ya wilaya ya Nzega pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Bukene.
''Bado tutabaki katika maombi yetu, ambayo jana pia tuliyasema kwamba tungependelea wakati unamalizia muda wako tafakuri yako ikupelekee kutupatia mkoa mpya wa Nzega '' Alisema Hamisi Kigwangalla
Chanzo: EATV
Kigezo cha opulation ni sawa. Lakini population ya Chato ni ndogo, na kuanza kukata tarafa za Geita na Kakonko iliyoko Kigoma na sehemu ya Muleba ili kuongeza Population ya Chato ni UNDEZI au UPIMBI wa hali ya juuPopulation
Unajua idadi ya watu wa Wilaya ya Chato pekee kabla hujaweka Wilaya zingine au unaropoka tuu? Wilaya Ina watu zaidi ya 600k harafu unasema ni watu kidogo hao?Kigezo cha opulation ni sawa. Lakini population ya Chato ni ndogo, na kuanza kukata tarafa za Geita na Kakonko iliyoko Kigoma na sehemu ya Muleba ili kuongeza Population ya Chato ni UNDEZI au UPIMBI wa hali ya juu
Hapana, watachukua kuja igunga na singida...Hahahaha.Wasomali ni wajanja mno. Nzega iwe mkoa jamani, watamega maeneo na mkoa wetu wa Shinyanga. Tumechoka Shinyanga na Mwanza yetu kumegwa.
Kati ya mimi na wewe anayeropoka ni nani? Hivi unajuwa kuwa Chato iiikuwa sehemu ya Biharamulo ila Dikteta akaikata kutoka Biharamulo kwa hila akiwa Waziri? Unajuwa kuwa alichepusha pia barabara ya lami ambayo ilikuwa ipite Biharamulo, badala yake ikapita Chato.Unajua idadi ya watu wa Wilaya ya Chato pekee kabla hujaweka Wilaya zingine au unaropoka tuu? Wilaya Ina watu zaidi ya 600k harafu unasema ni watu kidogo hao?
Hakuna eneo la Singida litachuliwa Bali Igunga,Nzega,Baadhi ya Tarafa za Uyui na Baadhi ya Tarafa za Kaliua ndio walau itatengeneza jiografia nzuri.Hapana, watachukua kuja igunga na singida...
Haiondoi ukweli kwamba nzega kieneo ni zaidi ya nusu ya mkoa wa shinyangaBukene iko nzega..Na kingine umewahi kufika shinyanga?
kwa sababu mimi nimefika Tabora karibu wilaya zote nilikuwa pale kwenye Research fulani nimeenda Nzega ,Nimeenda Igunga ,Nimeenda kaliua,Nimeenda urambo nimeenda tabora mjini wilaya zote nimeenda...
Kadhalika hata shinyanga nimeenda miaka y 2013 hiyi kabla hawajaimenya so naijua vizuri shy pamoja na tabora...
Wilaya kubwa mkoa mzima wa Tabora ni SIKONGE ikifuatiwa na KALIUA, Inakuja UYUI , Nzega na Igunga zinakaribia kulingana kwa ukubwa na kijigraphia then urambo na zinafuata zingine....
Kwa hii ramani sioni haja ya kuugawa mkoa wa Tabora. Makao makuu yapo centre. Huko Sikonge ambako ndiyo kukubwa kuna watu wachache na asilimi zaidi ya 80 na eneo lake ni mapori ya akiba. Watu wanataka mikoa bila sababu za maana.Hakuna eneo la Singida litachuliwa Bali Igunga,Nzega,Baadhi ya Tarafa za Uyui na Baadhi ya Tarafa za Kaliua ndio walau itatengeneza jiografia nzuri.
Ingekuwa Mimi ndio muamzi Tabora Wala hakuna sababu ya kupigwa Kwa vile Mji wa Tabora uko katikati na unafikiwa na Wilaya zake zote Kwa urahisi kabisa maana ni T-Junction.Tabora ndio Mji wenye junction nyingi hapa Tanzania.
Mwisho kabisa Serikalini iugawe Mkoa wa Manyara maana jiografia yake ililazimishwa tuu.Kuwe na Mkoa wa Kiteto ambao utakuwa na Makao Makuu pale Kibaya na itachukua Wilaya za Kiteto,simanjiro na nyingine zitakazoanzishwa humo ndani maana jiografia na Ukubwa inaruhusu.
Then Mkoa wa Manyara usalie na Wilaya zake za Sasa na Kongwe iende Manyara badala ya Dodoma ndio itakaa sawa.View attachment 2785852
Ndio maana nasema ukiona rama I hiyo hakuna haja ya Mkoa wa Tabora kugawanywa ni siasa za kipuuzi tuu.Kwa hii ramani sioni haja ya kuugawa mkoa wa Tabora. Makao makuu yapo centre. Huko Sikonge ambako ndiyo kukubwa kuna watu wachache na asilimi zaidi ya 80 na eneo lake ni mapori ya akiba. Watu wanataka mikoa bila sababu za maana.