stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mikono juu maana yake umesanda,๐๐๐๐๐ฝ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikono juu maana yake umesanda,๐๐๐๐๐ฝ
Hii ni baada ya masaa kadhaa hapa Tabora mwenyekiti wa chama Chetu cha wanyonge kufariki TABORA..Mtu yeyote ambaye hajui kuwa maendeleo aliyonayo yanatokana na mipango ya serikali basi huyo ni mfu, ndio maana nchi zilizoendelea wao udeal na rais tu, lkn sisi huku eti mtu anaangaika na mbunge, mara diwani mara mwenyekiti wa kijiji, ujinga mtupu.
SureHajui kuwa hata hiyo nafasi ya kuiba imetokana na udhaifu wa serikali.
Huyu akili zilitoka siku ile walipogonga TwigaKwa hiyo kama unalima sana na barabara za kutoa mazao hakuna, una kiwanda kidogo cha kutengeneza samani za chuma na umeme wa uhakika hakuna usilalamike?. Kuna haja ya kuhoji degree zake kapataje