Kigwangwala: Kama kudaiana, Simba tunamdai MO hela nyingi sana

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala

“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”

“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

“Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

“Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

“Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

“Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

“Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

“Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

“Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

“Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.”
 
Kigwangala ni mtu mkubwa kumbe kichwani akili haina akili...
Mmeambiwa kamilisheni mchakato, Fedha iko escrow ihamishiwe kwenye account ya club, mchakato hamkamilishi halafu wewe unadai projected income za kufikirika.!!??

Unadai mpaka 'opportunity cost', hizo za Azam ulisha forego ndio maana ukaenda na Mo.

Unasema timu ni ya wanachama kwa 100%..kichwa yako ina maji ndani yake..
Gharama za uendeshaji za team ulikuwa unatoaga wewe??
Kimsingi Mo hahitaji kuwapa tena zile 20bil zilizopo Escrow...

Huyo Issa mwenyewe anasema, hapa katikati walikua wanachukua mara bil 4 mara 5.. Eti ulikuwa msaada!! Shubamit!! Walikuwa na ulemavu, au walipewa na taasisi ya charty ya Mo..
Acheni utapeli na uselausela! Sasa Mo ndio ameshajumlisha hiyo 'misaada' imezidi 20bil..

Hamumdai senti kipande, shubamit waizi wakubwa!
Kwanza wewe Kigwangala mtu akichukua milioni tu kwako lazima umloge..!!
Ni aibu sana kwa watu wanaodhaniwa kuwa na heshima katika nchi hii kufikiria Kama wewe...
 
Mhe. Kigwangwala asikilizwe, tulimpuuza yale aliyoyahoji wakati huo ndio sasa yameanza kufahamika.

Hii ilikuwa Septemba 2020.

Screenshot_20240609_121527_X.jpg

View: https://x.com/HKigwangalla/status/1302279262976839686?t=lKMOrccVCAW8JGRdV5sN7w&s=19
 
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala

“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”

“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

“Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

“Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

“Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

“Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

“Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

“Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

“Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

“Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.”
Mo anamiliki simba.. hamisi unamiliki kadi...
 
Iyo pesa unayodai
Kigwangala ni mtu mkubwa kumbe kichwani akili haina akili...
Mmeambiwa kamilisheni mchakato, Fedha iko escrow ihamishiwe kwenye account ya club, mchakato hamkamilishi halafu wewe unadai projected income za kufikirika.!!??

Unadai mpaka 'opportunity cost', hizo za Azam ulisha forego ndio maana ukaenda na Mo.

Unasema timu ni ya wanachama kwa 100%..kichwa yako ina maji ndani yake..
Gharama za uendeshaji za team ulikuwa unatoaga wewe??
Kimsingi Mo hahitaji kuwapa tena zile 20bil zilizopo Escrow...

Huyo Issa mwenyewe anasema, hapa katikati walikua wanachukua mara bil 4 mara 5.. Eti ulikuwa msaada!! Shubamit!! Walikuwa na ulemavu, au walipewa na taasisi ya charty ya Mo..
Acheni utapeli na uselausela! Sasa Mo ndio ameshajumlisha hiyo 'misaada' imezidi 20bil..

Hamumdai senti kipande, shubamit waizi wakubwa!
Kwanza wewe Kigwangala mtu akichukua milioni tu kwako lazima umloge..!!
Ni aibu sana kwa watu wanaodhaniwa kuwa na heshima katika nchi hii kufikiria Kama wewe...
Iyo pesa unayodai Mo alikuwa anatoa na imefika bilioni 20 ilikuwa kwenye makubaliano yapi ya kimkataba? Walikubaliana kwamba itabadilishwa iwe mtaji wa b.20? Kwanini yeye na wenzake walidanganya kwamba ameshaiweka benki? Alete ayo makubaliano kimaandishi kwamba pesa alizokuwa anatoa ndizo zigeuzwe kuwa mtaji wa b.20 vinginevyo uyu unamtetea lakini ni chanzo kikubwa Cha matatizo ya Simba, Mchakato wa mabadiliko kaukwamisha yeye kwa maana alishiriki kuendesha Mchakato huo kwa speed ya zimamoto wakati huo akijua Kuna vifungu vingi vya kisheria alivifunika kitu kilichopelekea serikali kumrudisha nyuma arekebishe vifungo ivyo vilivyokiukwa Kisha aendelee mbele, alikuwa anaitaka Simba kwa haraka sana kuliko kuzingatia masharti na kanuni za uwekezaji kwenye vilabu vya Tanzania Sasa awezi kumlaumu mtu kwamba anamkwamisha ni yeye mwenyewe ndie aliyejikwamisha asitafute huruma hapa!
Mumtetee lakini mjue keshayatimba na yashabumbuluka ivyo achutame!
 
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala

“Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”

“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

“Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

“Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

“Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

“Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

“Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

“Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

“Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

“Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.”
Sawa lakini comrade uwezo wa kuwekeza Simba unao!!kama unao sema nianze mchakato wa kukupigania uwe Rais wa Simba!
 
Nimeanza kuuona ubabaishaji wa Mo kwenye kuisimamia na kuindesha klabu, simply ameuteka mfumo na channel zote za mapato ndani ya Simba Sc na kuzielekeza anapotaka yeye.

Tuanze sasa na ile bilioni 20 iko wapi?
Ni kweli MO ni msanii lakini vipi kuhusu hawa viongozi upande wa wanachama ...

Walifanya nini kipindi Mo anadanganya?

Hapa wote wajiuzulu tuanze upya ...hao kina masoud si wasafi.
 
Back
Top Bottom