Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uasibu umeusomeaa wapiUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Amekula kona sasa huu uzi ni mchungu kwake.Muhasibu huonekani ofisini
Chawa wake huyu hapaAmna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Mna ulimbukeni wa kitoto
Wengine humu bado sana mfano mzuri mimi mwenyewe hivyo ni vizuri kutumia vizuri utoto wangu vizuri .Mna ulimbukeni wa kitoto
AahaaaaaMhasibu mwenye CPA ya jalalani
Kama wa MayeleHuyu ameukimbia uzi wake
[emoji2957] Msameheni MBUMBUMBU wetuWAHASIBU WALIOSHINDIA MATEMBELE BWENINI
Niliwaahidi sitowaangusha katika suala zima la updates .
#UhasibuUnae 😁 😁
Jamaa ana mikosi sana na tabiri zake.Huu uzi ataukimbia kama alivyoukimbia uzi wake wa mayele vs kibu
Naongezea kwa waliocheza mpira. Mchezaji anaangaliwa majukumu ktk position. Anavyopokea pasi au mpira na anavyotoa pasi au anaachia mpira (accuracy). Hizi ndiyo basics. Halafu vingine vyote ndo vinafata. Mwangalie Maxi Zengeli, ana hizo basics lakini hajua kufunga. Huyu akipata kocha mzuri wa ufungaji anakuwa vizuri. Mwangalie Moloko. Huyu ana kasi ila hana basics tajwa.Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Kama haujawahi kucheza mpira kwa miaka kadhaa hata kama umecheza amateur yaani hukucheza ligi za FAT au TFF lakini umecheza mpira. Unakuwa tofauti sana. Narudia tena unakuwa tofauti sana kimtazamo na mtu asiyecheza mpira.
Kwa mtu aliyecheza mpira kujua uwezo wa mchezaji ktk position fulani na kusema huyu ni hasara au huyu anajua au huyu anauwezo wa kawaida inahitaji mtu aliyeucheza mpira kwa kipindi fulani ktk maisha yake.
Mtoa mada hajacheza mpira. Alikuwa anafanya mazoezi ya mpira ila hajaucheza. Ukiucheza, unakuwa na ufikiri wa tofauti na kuangalia mchezo na mchezaji kwa utofauti labda uamue makusudi kuwa biased.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
OKW BOBAN SUNZU hukucheza mpira hata wa utotoni, shahidi ni mashudu unayojaza kwenye page za jfNaongezea kwa waliocheza mpira. Mchezaji anaangaliwa majukumu ktk position. Anavyopokea pasi au mpira na anavyotoa pasi au anaachia mpira (accuracy). Hizi ndiyo basics. Halafu vingine vyote ndo vinafata. Mwangalie Maxi Zengeli, ana hizo basics lakini hajua kufunga. Huyu akipata kocha mzuri wa ufungaji anakuwa vizuri. Mwangalie Moloko. Huyu ana kasi ila hana basics tajwa.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app