Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Huo uasibu umeusomeaa wapi
 
Chawa wake huyu hapa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu watu wengi hawafahamu. Kama haujawahi kucheza mpira kwa miaka kadhaa hata kama umecheza amateur yaani hukucheza ligi za FAT au TFF lakini umecheza mpira. Unakuwa tofauti sana. Narudia tena unakuwa tofauti sana kimtazamo na mtu asiyecheza mpira.

Kwa mtu aliyecheza mpira kujua uwezo wa mchezaji ktk position fulani na kusema huyu ni hasara au huyu anajua au huyu anauwezo wa kawaida inahitaji mtu aliyeucheza mpira kwa kipindi fulani ktk maisha yake.

Mtoa mada hajacheza mpira. Alikuwa anafanya mazoezi ya mpira ila hajaucheza. Ukiucheza, unakuwa na ufikiri wa tofauti na kuangalia mchezo na mchezaji kwa utofauti labda uamue makusudi kuwa biased.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Naongezea kwa waliocheza mpira. Mchezaji anaangaliwa majukumu ktk position. Anavyopokea pasi au mpira na anavyotoa pasi au anaachia mpira (accuracy). Hizi ndiyo basics. Halafu vingine vyote ndo vinafata. Mwangalie Maxi Zengeli, ana hizo basics lakini hajua kufunga. Huyu akipata kocha mzuri wa ufungaji anakuwa vizuri. Mwangalie Moloko. Huyu ana kasi ila hana basics tajwa.



Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
OKW BOBAN SUNZU hukucheza mpira hata wa utotoni, shahidi ni mashudu unayojaza kwenye page za jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…