Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Wachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.

waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.

Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.

1
 

2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mpuuzi miongoni mwa wapuuzi, umekuwa na kilanga cha kukurupuka kupost utumbo baadae unakuja kujificha kwa aibu, ulikuwa unamlinganisha kibu denis na mayele kuwa yanga wamepigwa na kibu ni zaidi ya mayele kilichofata uzi uliutelekeza saivi unauchungulia tu kama mtu aliyeshikwa ugoni, leo hii unarudia kile kile ulichomponda nacho mayele akiwa amecheza mechi 3 tu na akiwa mgeni wa ligi kuwa yanga imepigwa unakirudia kwa Aziz ki kuwa ni hasara, kwanza si mlikataa kuwa akusajiliwa kwa hizo pesa sasa inakuwaje leo unaandika mlichokikataa? Kwa kujua ya kuwa mashabiki wa makolo amko sawa vichwani na amjui chochote kuhusu mpira mnaanza kumhukumu mchezaji mpya kwenye ligi mpya na mazingira mapya tena akiwa amecheza mechi zisizopungua 4? Mashabiki wapuuzi kama nyie ndio wanaolifanya soka la Tanzania liendelee kudumaa kila siku maana limejaa watu wa ovyo ovyo wasiojitambua


Cc[mention]Mtanzanias [/mention] [emoji115]
 
Tupate update kidogo mkuu bado hasara ?; au hela itajilipa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…