Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu Uzi kila ukifufuliwa nacheka sana.
Hakukoma alipoanzisha upupu wa Kibu na Mayele akaona aharishe tenaTunakoelekea ipo siku Muhasibu atarusha ngumi kwenye huu uzi. [emoji23][emoji23]
Hakukoma alipoanzisha upupu wa Kibu na Mayele akaona aharishe tena
Wachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.
waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.
Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.
Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Takwimu za kibu na mayele hahaha
Ule uzi anauona Kama baba mkwe
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Bila kujali ushabiki, Yanga walipigwa.
Naam naamLeo ndio leo
Tupate update kidogo mkuu bado hasara ?; au hela itajilipa ?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account