Mbona yupo wenye thread ya mechi ya leo na notification anazipata,ajifunze kuheshimu mpira na mpinzani wako na uzuri JF uzi haupotei.Unavyoongea utadhani mtu akianzisha uzi basi analazimika 24/7 kuwepo kusoma comments.Pengine hana hata habari kama mpo hapa na yeye anaendelea na hamsini zake.
hatimae muda umefika..Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Msameheni ndugu muhasibu kumbuka ana familia inamtegemea sio poa mnavyomsagia kunguni π€£π€£π
Aje wapi Mahesabu yamegoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mhasibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu njoo huku ufunge hesabu.
Ngoja tumuweke kiporo mpaka Aziz Ki akikiwasha tena. Ni burudani tosha yaani mechi ikiisha huko tunahamia huku kuendeleza burudani πππMsameheni ndugu muhasibu kumbuka ana familia inamtegemea sio poa mnavyomsagia kunguni π€£π€£π
Wahasibu wa bar hawaHivi huyu mhasibu wetu alisoma chuo gani? GPA yake ilikuwaje? ππππΏββοΈ
Wa kukurupuka, upo?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account