Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Hatimae mhasibu kapatikana
1661984726196.jpg
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Unaendeleaje mkuu
 
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?

Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong

Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Chawa wake huyu hapa
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Kazi ipo hapa,🤣
 
Mchango wa Aziz Ki ni mkubwa sana. Bila goli lake Club Africain, Yanga isingepata nafasi ya kufika fainali. Hata kwenye mechi za ligi amshangania sana ingawa kuna wakati alikuwa kama anadoroala lakini kila mnara alikuwa anatoa mchango mkubwa pamoja kuonekana kudorora
Lile goli lake dhidi ya Club Africain ndo lililofungua milango ya Yanga kimataifa
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
KMMK MWENYE UZI
JamiiForums488315846.jpg
 
Back
Top Bottom