ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hatimae mhasibu kapatikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendeleaje mkuuUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Wadau hamlali,aahaaaassKumekucha hahaha 🤣🤣🤣🤣
Chawa wake huyu hapaAmna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Waufute tuWafanye nini?
Kazi ipo hapa,🤣Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Lile goli lake dhidi ya Club Africain ndo lililofungua milango ya Yanga kimataifaMchango wa Aziz Ki ni mkubwa sana. Bila goli lake Club Africain, Yanga isingepata nafasi ya kufika fainali. Hata kwenye mechi za ligi amshangania sana ingawa kuna wakati alikuwa kama anadoroala lakini kila mnara alikuwa anatoa mchango mkubwa pamoja kuonekana kudorora
AahaaaaNamshukuru aliyeanzisha hii thread. Master Key atakumbukwa daima katika soka la bongo.
Au amvae Melo tu atamsaidia 😁Ulifanya kosa kubwa sana kuanzisha huu Uzi ongea na mods wafanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KMMK MWENYE UZIUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Unavyoongea utadhani mtu akianzisha uzi basi analazimika 24/7 kuwepo kusoma comments.Pengine hana hata habari kama mpo hapa na yeye anaendelea na hamsini zake.Mpaka aombe msamahaa. Mpaka aukimbie uzi wake.[emoji2960]
AaahaaaaaaKule kimasihara hapa kihasibu.....🔥💚💛💚💛