Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kukosea kwa comparison kati ya Kibu na Mayele haimaanishi ndo kakosea kusema kumsajili Aziz Ki kwa mihela mingi kuwa Uto wamepigwa.

Ki ni wa kawaida, anastruggle kuprove kuwa yupo vzr ila wapi.

Scout ya team zetu bado ipo poor sana. Mf hata Mnyama kuna wageni kadhaa nao wamezingua, naona hawana impact tarajali...

Anyway, usajili huwa ni kamali, kuna kupata na kukosa!

Let us enjoy football
 
Umeleeza vizuri japo ni kama umempigia mbuzi gitaa
 
Miezi 6 inaweza kutoa picha vizuri ya uwezo wake. Usiwe na haraka tv zipo tutamuona
 
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Nikiassume kuwa clubs huwa zinafanya mahesabu yao ya tathmini za usajili kwa mtindo huu, kama ulikuwa una nia ya kuifunga account ya kwanza ya Registration Fees wakati wa transaction ya pili, hiyo account ya pili Registration mbona ni tofauti na ya kwanza? Registration Fees ACC na Registration ACC ni account mbili tofauti. Kama ulikuwa unamaanisha ile account ya kwanza, ulitakiwa uicredit account siyo tena uidebit kwa mara ya pili.

Utapata tabu sana katika Trial Balance yako 🤣😂🤣
 
Uongozi na wachezaji wa Simba ndio wanajua miguu ya AZZ K inathamani gani wewe shabiki maandazi hujui lolote.
CEO wako akibahatika kusoma unachokiandika ata kuona waajabu sana.Ata kiungo wa Simba mwenye Spidi ya konokono ame mvulia kofia K AZZ.
Kwa nini Simba ndio iwe reference ya ubora wa Aziz Ki?
 
Wakati mnamtuma CEO Wenu amfatilie na kumpigia cm mlikuwa mnamuona bora
 
Ila kuna watu mmesoma mpaka elimu inawaogopa.
 
Najua we na timu yako ndio mliojenga kile kibanda cha mlinzi cha 11M.
 
Lakini ni wewe ulikuwa unatusimulia mlivyopata kwa kumchukua na leo unamponda. Ndo maana huwa nakuambia huna akili wewe!!!!
 
Wewe ni mjinga sisi tupo pamoja na aziz ki
 
Mzungu mlimuhukumu kwa mechi ngapi? Sio moja tu ya Ngao ya Jamii?
Hata hivyo utopolo mna kinyesi kwa mujibu wa Karia.
 
Injinia kama hana ghorofa atakuwa fala,aziz thanani yake m 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…