Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

View attachment 2791500
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[mention]OKW BOBAN SUNZU [/mention]
[mention]Jackal [/mention]
[mention]zipompa [/mention]
[mention]Shadeeya [/mention]
[mention]adriz [/mention]
[mention]Shimba ya Buyenze [/mention]
Mhasibu ametokomea kusikojulikana wakati bado hajakabidhi fn report.
 
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?

Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong

Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Huwa unajiona unajua sana mpira aisee pole sana.
 
Mwasibuuu...kwenye ripoti yako ya mwaka jina gani limetokea? 😁😁😁

Screenshot_20231024_111427_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom