Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Kambole anaweza kuwa bora mara 2 ya Azizi Ki
Ataukimbia Uzi wake
Amshukuru refaBahati yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Wana kuzoom tu unavoandika upupu wako af wao wanasubiri matokeo yaende tofauti wakukaange [emoji23]Watu wa jf wabaya sana[emoji23][emoji174]
AaaahaaNataka nimjue aliyetunga jina la "Mwasibu" naona linatrend halafu limekaa unyama sana .
Aliyetunga anakitu atafika mbali.
Wewe mbojo hivi Azizi K anavyofunga hivi unajisikiaje?πππππUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account