Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliokuwa wanapiga magoti kumuomba radhi AYOUB leo sura zao wataziweka wapi!!! 🤣🤣🤣Ayoub Lakred
Kihasibu walikuwa sahihiWale waliokuwa wanapiga magoti kumuomba radhi AYOUB leo sura zao wataziweka wapi!!! 🤣🤣🤣
Ni tapeli huyuMhasibu wa minada ya Ng'ombe..
Naunga mkono hojaMods hii thread ya Mwasibu iwekwe Sticky, itasaidia kupunguza warokaji JF.
Saivi vipi kiongoziWachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.
Waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.
Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.
🤣😂😁Updates : hali ya MUhaSibu wetu kwa sasa na shughuli anayofanya hivi karibuni..View attachment 2851276
Habari yako CPA OKW BOBAN SUNZU, vipi financial year hii vitabu vya Ki Aziz vinasomaje huko?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Mwanani 😂Mwaseeeebuuuu