Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

[emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ni data ya kidunia.
Messi kaipatia makombe ya kimataifa mara nyingi Argentina kuliko Maradona.
Takwimu hizo hapo.
Yani jamaa kaenda mbali hadi kumshusha Pele kwa Maradona.View attachment 2964233View attachment 2964234
Kuna statistics nyingine zinahitaji uwe umekula bangi ndio uzilete jukwaani. Sasa kipindi Cha Maradona Baloon D'or ilikwepo?
 
Kuna statistics nyingine zinahitaji uwe umekula bangi ndio uzilete jukwaani. Sasa kipindi Cha Maradona Baloon D'or ilikwepo?
Nahisi wewe utakua ndio umevuta bangi.
Katika vitu vyote umeona Ballon d'or tuu!?
Hujaona makombe ya kimataifa?
Hujaona jumla ya magoli ya timu ya taifa?
Hujaona jumla ya mataji ya timu ya klabu?
Acha kuvuta bangi ukiwa chooni tena mchana jua kali choo hakina bati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…