Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Una jicho la mbali sana kaka, hongera. Achana na uyo mhasibu aka mchambuzi wa mchongo, anafikiria kama ngiri😂😂😂😂ushahidi post yake mwenyewe😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…