Hahahahaha..dahBila kujali ushabiki, Yanga walipigwa.
Huyu mwasibu sijui kasomea wapi yaani
Kmmk [emoji23][emoji23] et ndugu wa okwiNdimu mkata shombo
Mzee wa kazi
Ndugu wa damu na OKW[emoji28]
Mwasibuuuu tuendelee na profit and loss account.....au tufanye tu double entry???Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Mwasibu wanayanga tunaomba uandike kuhusu Ki msimu umeisha na hajachezea uvunguni....Labda mpuuzi mama yako. Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tu