Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Apia!!!!!😹
 
Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Nilikuonya mapema sana mwasiiiiibu...... kiko wapi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…