π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Atakuja baadaye kugawa dislikes....
Halafu vu bin vu mtaa anaokaa unabadilishwa jina na kuitwa Aziz Ki street. Sijui atahama kihasibu? πππ
View attachment 3002074
Hapa uliua sana mzee.Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Ngoja nimtag aje kugawa dislikes kama njuguKwa quotes hizi mwasibu sijui ana hali gani huko. π€£