Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Simba oye!!
 
Value yake ni pamoja na kuumwagilia moyo

Yes , Mimi naongea Kama mchezaji nimecheza mpira kwa level kubwa

Ukiwa Una age 28+ ukawa MTU wa starehe hasa Pombe ,wanawake na Shisha kiwango kinashuka haraka

Kumwagilia moyo ni muhimu Sana Ila Kwa kias .
 
Wao wanajua hata wakipiga shisha wakifika uwanjani wanajipiga misindano wanakuwa fresh na soka linatembea
 
Duhh! Dar es salaam mbaya sana, kijana alikuja na nidhamu ya kazi Sasa hivi amekuwa Teja wa shisha nguvu miguuni kwishney na kifua lazima pumzi ipungue
 
Duhh! Dar es salaam mbaya sana, kijana alikuja na nidhamu ya kazi Sasa hivi amekuwa Teja wa shisha nguvu miguuni kwishney na kifua lazima pumzi ipungue
Ndiyo maana watu wanashangaa kwa nini Aziz Ki anapigwa sub Kila mara na Gamondi.
 
Mhasibu wakumbushe ile conclusion kwenye report ya chama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…