Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu muulize asubuhi kwa SAA za wapi?na umeanza kutupangia muda wa kupiga MASHINE
Aahaàaaana umeanza kutupangia muda wa kupiga MASHINE
Ni Muhasibu wa chama cha wenye uraibuMhasibu wa Chama cha wavuta tumbaku Tanzania.
sema tenaAmna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Wamama wapo makini sanaMhasibu wa kikundi cha wamama...
😂😂😂Kwa hilo sikupingi aisee! umetoa ushauri mzuri sana na kuongea maneno kuntu ambayo huwezi kudhania kama yametoka kwa Dunduka ,hayo ndio maendeleo yenyewe.....
😅😅..eti mhasibu😁Tunakoelekea ipo siku Muhasibu atarusha ngumi kwenye huu uzi. 😂😂
😅😅😅😅..eti mhasibu😁
Huyu atakuwa mkulima tu kama Lucas M.
Apambane tu na jembe fani za wenyewe aachane nazo.
Hahahaha,je ule wa kibu na mayele vipi hakurusha kule?Tunakoelekea ipo siku Muhasibu atarusha ngumi kwenye huu uzi. 😂😂
Hahahaaa. Ule alijikaza.Hahahaha,je ule wa kibu na mayele vipi hakurusha kule?
Mie nilijua kajifunza ,asirudia yale ,kumbe dah hahahahahaHahahaaa. Ule alijikaza.
nmechekaaaaaaaaa 😁 😁 😁Tunakoelekea ipo siku Muhasibu atarusha ngumi kwenye huu uzi. 😂😂