Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

1000123434.jpg
 
Kitaalamu : nimegundua kuwa kilichomponza mleta mada ni heading yake "kihasibu" angeandika bila hilo neno uzi ungepoa sana ,sasa mchawi hapo kwenye kihasibu ndipo ameyakanyaga kila mtu humu akicomment lazima kihasibu na uhasibu wake uhusike.
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Akili za mikia ziko mikiani. Nyumba usiyoilalia inakuhusu nini?. Kutwa kufungua niuz za YANGA tu.
 
Back
Top Bottom