BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mleta uzi usitwambie na kukunja bukta ni hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhasibu feki CPA ya mboga2.Jamaa alikua na thread nyingi mno kipindi Cha nyuma, now baada ya Nyuzi zake za kitakwimu kubuma kiherehere kimemuisha asee.
[emoji23][emoji23]View attachment 2767320
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaida nimewahi siti leo kutoa updates .
Hahahaha !! muhimu updates za kihasibu ziendelee ,sote tunajenga nyumba moja ukiwahi wewe kupandisha zenge juu hakuna ubaya.Ushatanguliwa[emoji3]
Bado haujasema, mpaka useme na utasema tu. . . NyambaffUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Hahahaha !! muhimu updates za kihasibu ziendelee ,sote tunajenga nyumba moja ukiwahi wewe kupandisha zenge juu hakuna ubaya.