Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Sema Muhasibu kokoSawa mhasibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Muhasibu kokoSawa mhasibu
Sema Muhasibu koko
Wewe ni Mhasibu uchwara.Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Mnaanzishaga nyuzi huku mna nyege haya sasa mnaumbuka
Teh teh teh 😂😂😂 Mr Accountant....Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Ulifanya kosa kubwa sana kuanzisha huu Uzi ongea na mods wafanye jambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule kimasihara hapa kihasibu.....[emoji91][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Muhasibu wa kwaya ya kina mama