Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Ila hii double entry yako ni feki...baada ya ku recognise expenditure kwa kununua mchezaji which was also wrong.

Kwenye loss recognition entry you don't recognize expenditure again but rather you recognize loss kwenye P&L na Loss provision kwenye Balance sheet.

Correct double entries:

1. On player's acquisition:

Dr Investments in players (players are assets to the club)
Cr Bank

2. Writing off a player:

Dr P&L...player written off
Cr B/S ...Provision for players write off

3. On taking off the player from the club's books:

Dr B/S provision for players write off
Cr B/S investments in players

B/S ni Balance sheet aka statement of financial position.

Ukitaka kujua football players accounting angalia published accounts za listed football clubs hasa za United kingdom, freely available on the internet...usitegemee sana madesa yenu ya NBAA!
Muhasibu ana kesi ya kujibu
 
Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?

Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong

Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
bado unashikilia hili au unatengua kauli
 
Azizi Ki ,akisoma kwa umakini mahesabu ya Mwasibu baada ya watu kumpa nakala ya uzi.
bc79267b-eb0c-4f9d-ab4e-5ea9bb4d4ee6.jpeg
 
Back
Top Bottom