Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Mpira ni mchezo wa wazi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh teh mwasibu wa mchongo mchongo CPA fake Okw katika ubora wake.View attachment 2844683
Mwasibu na chuma yake
Teh teh teh teh mwasibu wa mchongo mchongo Okw katika ubora wake.
Mh Mhasibu wa TRA [emoji870][emoji870][emoji870]
Mh Mhasibu wa TRA [emoji870][emoji870][emoji870]
Bado ni hasara bado?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account