Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Poleni sana,tunawaelewa maumivu mnayopitia.

Kuna wachezaji mlisema mmemuiba airport
Kuna Jobe,Fred,Babacar lazima muwe na stress kwasababu ni magunia ya misumari mmetwishwa
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Provision for Loss 400m
Cr: Registration fee 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Loss ina kiatu cha dhahabu Mwasi Kitoko.
 
Wanakwambia lile goli lililokataliwa la Aziz lingeingiza Yanga zaidi ya Billion moja na ushee.
So biashara imelipa na faida juu.
 
Bundi leo hachezi mbali na kwa mwasibu
d46275ad3a9cb2db3ed6996bec53d23a.png
 
Back
Top Bottom