Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa

Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu

Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa

Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne

Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu

Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee

20240629_122215.jpg

View attachment 3028964
 
View attachment 3028962
View attachment 3028964
Mfufua Nyuzi, huu uzi usije kuusahau pale muda wake utakapowadia.
 
sio kweli. yanga wametoa 100k usd na dube ametoa 100k usd.
total = 200k usd kalipwa azam.

100k usd ni yanga signing fee kwa dube.
100k usd ya dube ni 100k usd alipewa na azam on his last contract. as signing fee.

dube did it for his reputation and not because of money, and it seems dube wanted this move more for football reasons.

yanga refused to buy him. but they said they will sign him as a free agent. thats what happened

dupe aliambwa atasajiliwa akiwa free agent only.
 
sio kweli. yanga wametoa 100k usd na dube ametoa 100k usd.

100k usd ni yanga signing fee kwa dube
100k usd ya dube ni 100k usd alipewa na azam on his last contract.

dube did it for his reputation and not because of money, and it seems dube wanted this move more for football reasons.

yanga refused to buy him. but they said they will sign him as a free agent. thats what happened
This is porojo
 
Back
Top Bottom