Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

huo ndo ukweli, yanga didn't want to pay azam for dube.

do investigation zote ndo uje,

ukiweza tuweke pesa nani kasema ukweli ,
Prince Dube has to pay the full USD $200,000 before Azam terminated his contract.

Hizi pesa zimetoka huko utopoloni Dube aliwadanganya Gsm na mwenyekiti wenu kua hakuongeza mkataba mpya azam makaingia mkenge Azam wakakaza na mkataba ni halali, Viongozi wenu wameshauliana wameona bora wampe hiyo pesa akalipe kuondoa aibu na hofu ya mchezaji kwenda upande wa pili

Aingi akilini eti mchezaji atoe pesa aliyopewa kwa ajili ya mkataba wake akiwa azam ajilipie ili acheze utopolo kwa faida gani? huu ni uongo wadanganye hao nyuma mwiko
 
H
Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa

Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu

Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa

Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne

Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu

Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee

View attachment 3028962
View attachment 3028964
Uchambuzi wa hoja yako utakuelemea. Kwa mfano unasema Fei toto aliondoka kama staa wa timu, ila mbona Yanga kaendelea kubeba makombe na kupiga hatua kubwa michuano ya Afrika bila uwepo wa Fei?. Hii inakupa jibu kuwa Fei alikuwa wa kawaida tu! Kama Fei ni mchezaji bora kiasi hicho, je Azam kafika wapi msimu uliopita? Zaidi, uhamisho wa Fei ulitokana na maelekezo ya deep state hivyo haukuwa biashara huru,, angeweza hata kuondoka bure.
 
Prince Dube has to pay the full USD $200,000 before Azam terminated his contract.

Hizi pesa zimetoka huko utopoloni Dube aliwadanganya Gsm na mwenyekiti wenu kua hakuongeza mkataba mpya azam makaingia mkenge Azam wakakaza na mkataba ni halali, Viongozi wenu wameshauliana wameona bora wampe hiyo pesa akalipe kuondoa aibu na hofu ya mchezaji kwenda upande wa pili

Aingi akilini eti mchezaji atoe pesa aliyopewa kwa ajili ya mkataba wake akiwa azam ajilipie ili acheze utopolo kwa faida gani? huu ni uongo wadanganye hao nyuma mwiko
dube after signing his new contract alipewa 100k usd na azam then yanga wamempa 100k usd. total 200k kawa lipa azam. Acha kukaza kichwa yanga awaja lipa hiyo pesa yote.

misinformation hii
 
sio kweli. yanga wametoa 100k usd na dube ametoa 100k usd.
total = 200k usd kalipwa azam.

100k usd ni yanga signing fee kwa dube.
100k usd ya dube ni 100k usd alipewa na azam on his last contract. as signing fee.

dube did it for his reputation and not because of money, and it seems dube wanted this move more for football reasons.

yanga refused to buy him. but they said they will sign him as a free agent. thats what happened

dupe aliambwa atasajiliwa akiwa free agent only.
Wala usisumbuke huyo ni top striker, utajionea mwenyewe watarudi hapa kwa aibu. Kwa ile timu ya Yanga atafunga magoli ya kutosha tu hadi achoke.
 
Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne

Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu

Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee

View attachment 3028962
View attachment 3028964

Huwa sipendi kusifia au kuponda wakati wa usajili kwavile najua chochote kinaweza tokea kwa mchezaji. Ila wewe umeamua kutoa taarifa za uongo kuwa Dube hajawahi kuwa top 3 kwenye top scorers.

Msimu wa 2020/2021
Dube alikuwa ana magoli 14 nyuma ya Boko kwa magoli mawili ambaye alikuwa ndiye top scorer akifuatiwa na Mugalu aliyekuwa na magoli 15.

Msimu wa 2021/2022
Aliandamwa na majeraha

Msimu wa 2022/2023
Alikuwa top 3 kwa kufikisha magoli 12 nyuma ya Mayele na Saidoo wenye magoli 17

Msimu wa 2023/2024
Pamoja na kutocheza mechi nyingi kutokana na mgogoro na mabosi wake lakini hadi anakosekana uwanjani katika msimu huu alikuwa kaishapachika magoli 7.

Kwa takwimu tu inaonesha ni wazi kuwa ni mchezaji anayeweza kukupa kitu kama hana majeraha tofauti na ulivyoongopa wewe kuwa hajawahi kuwa top 3. Fatilia vizuri hilo.
 
Prince Dube has to pay the full USD $200,000 before Azam terminated his contract.

Hizi pesa zimetoka huko utopoloni Dube aliwadanganya Gsm na mwenyekiti wenu kua hakuongeza mkataba mpya azam makaingia mkenge Azam wakakaza na mkataba ni halali, Viongozi wenu wameshauliana wameona bora wampe hiyo pesa akalipe kuondoa aibu na hofu ya mchezaji kwenda upande wa pili

Aingi akilini eti mchezaji atoe pesa aliyopewa kwa ajili ya mkataba wake akiwa azam ajilipie ili acheze utopolo kwa faida gani? huu ni uongo wadanganye hao nyuma mwiko
Pesa za mwanaume mwenzako zinakuuma!
 
Mbumbumbu fc vilio vitaendelea, Yanga haina lengo zuri na soka la bongo, yaani Yanga ina masifa , imenunua drone missile (Dube) eti kuja kuulia mbu tu!! Msimu mpya Yanga itatoa vipigo vya 7G tu, ila hata Aziz Ki alipokuja maelezo ya hasara za kihasibu yalikuwa hayahaya!

Ukweli Yanga ni timu kali kwasasa mchezaji akija akafit kwenye mfumo anawaka kweli kweli mf Mudathir wa Azam si Mudathir wa Yanga, huyu Dube siku akiwaka , Yanga itazionea sana underdogs kama Simba, JKT, ihefu nk, si ajabu tukaona minara ya 6G au 7G

Mi bado namkubali sana Kennedy Musonda kuliko Guede, iwapo watacheza double striker Dube na Musonda nyuma yao kuna Chama, Ki Aziz, Max, Pacome,Mudathir na Aucho , Yanga itakuwa hatari zaidi ya danger itakuwa ni kupiga tu my wetu 7G bila huruma!

Yanga ya msimu ujao ni kali hapa bongo tunawaonea tu ni vizuri tukiomba mechi na PSG kupitia Hakimi kwa kuwaonesha lile bao la Aziz Ki dhidi ya Mamelodi!!
 
Kwenye mpira hasara haiepukiki. Hakuna timu ya mpira duniani isiyopata hasara katika kusajili.

Lakini, faida inaweza kuja baadaye au isije. Msimu ujao kama utakuwa msimu bora kwa Dube basi Yanga watakuwa wamelamba dume.

Time will tell.
 
Prince Dube has to pay the full USD $200,000 before Azam terminated his contract.

Hizi pesa zimetoka huko utopoloni Dube aliwadanganya Gsm na mwenyekiti wenu kua hakuongeza mkataba mpya azam makaingia mkenge Azam wakakaza na mkataba ni halali, Viongozi wenu wameshauliana wameona bora wampe hiyo pesa akalipe kuondoa aibu na hofu ya mchezaji kwenda upande wa pili

Aingi akilini eti mchezaji atoe pesa aliyopewa kwa ajili ya mkataba wake akiwa azam ajilipie ili acheze utopolo kwa faida gani? huu ni uongo wadanganye hao nyuma mwiko
wacha ufala wewe!!!
mchezaji gani Yanga aliwahi kumnunua kwa hela hiyo,kwani sisi si ndo mnaotuchekaga tunasajili wachezaji bure au kwa mkopo kama mayele,max n.k iweje leo tumnunue dube kwa 500+milioni???tumeanza lini kuwa na jeuri hiyo!!!
 
Unakurupuka kumchukua mzee wa pancha kwa gharama kubwa tena mchezaji wa kigeni halafu unasema umelipa kisasi. Huu ni zaidi ya u -hamnazo kama alivyosema Manara .
 
Back
Top Bottom