Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa

Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu

Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa

Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne

Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu

Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee

View attachment 3028962
View attachment 3028964
Hii timu ndugu yangu utopolo inaongozwa kwa miemuko na fuata mikumbo ya misifa sifa ya kijinga
 
Utopolo wanaupita huu Uzi kama vile wanaaga maiti
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Dube ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana.
huko Azam hajafanya chochote kuisaidia timu yake kitaifa na kimataifa.
na kwa kipindi chake chote TZ hajawahi kuwa mfungaji bora wa ligi pamoja kuwa katika timu nzuri ya Azam.
kilicho mpandisha Dube ni kubahatisha kuifunga Simba tu.
 
Back
Top Bottom