Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa

Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu

Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa

Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne

Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu

Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee

View attachment 3028962
View attachment 3028964
Sawa Muhaseeb ...
 
Chai
 
Mwisho wa Msimu tutakuja kufanya hitimisho la Kihasibu kila tuone kama utakuwa Mwasibu mpya JF na kupata nafasi Moja kwa Moja ya kuingia katika jopo la Wahasibu.
Naunga mkono hoja 🤣 😁 😁 😁 😁 😁
 
Huyu mwamba kanichekesha sana eti "Kitaalam" 😆 😂
IMG_20240829_192203.jpg
 
Mwisho wa Msimu tutakuja kufanya hitimisho la Kihasibu kila tuone kama utakuwa Mwasibu mpya JF na kupata nafasi Moja kwa Moja ya kuingia katika jopo la Wahasibu.
Ndugu yangu mwenzio nikajua huu ni ule uzi wa kihasibu wa siku zote kumbe huu ni mwingine. Lol.
 
Back
Top Bottom