Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Hii ndo shida, sema umaarufu wake ni kufunga mechi muhimu tu. Kwa uchawi wa Yanga ataponeshwa tu.Dube pancha tupu!, tripu shamba, tripu Gereji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo shida, sema umaarufu wake ni kufunga mechi muhimu tu. Kwa uchawi wa Yanga ataponeshwa tu.Dube pancha tupu!, tripu shamba, tripu Gereji.
hua anawakanda na pancha zakeUnakurupuka kumchukua mzee wa pancha kwa gharama kubwa tena mchezaji wa kigeni halafu unasema umelipa kisasi. Huu ni zaidi ya u -hamnazo kama alivyosema Manara .
POLEEEEEETunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa
Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu
Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa
Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne
Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu
Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee
View attachment 3028962
View attachment 3028964
Simba sajilini wachezaji wazuri, vipigo vikianza tena hatutaki kusikia habari za marefa kuhongwaUnakurupuka kumchukua mzee wa pancha kwa gharama kubwa tena mchezaji wa kigeni halafu unasema umelipa kisasi. Huu ni zaidi ya u -hamnazo kama alivyosema Manara .
Unitag ukirudi ili tuwasimamge MAKOLO wakati ambapo Dube tayari atakua ni top scorer...Nitarudi mwisho wa msimu.
Ndo yule yule wa siku zoote ila kaja na ID nyingineNaona tumepata mwasibu mwingine, Ngoja tusubiri muda uongee
Bali mkatie kiuno!?..kuwa na adabu mkuu,nakuheshimu ujue!!Usimkatie tamaa mwanaume mwenzio wewe
We jamaa ni mweupe sana kwenye soka hakuna unachojuadube after signing his new contract alipewa 100k usd na azam then yanga wamempa 100k usd. total 200k kawa lipa azam. Acha kukaza kichwa yanga awaja lipa hiyo pesa yote.
misinformation hii
Mangungu anaondoka lini?We jamaa ni mweupe sana kwenye soka hakuna unachojua
Hiyo unayosema alipewa ni sign fee, mchezaji akishapewa mkataba anakua ni mali ya timu hivyo timu inaamua kuweka kipengere cha endapo mchezaji anataka kuvunja mkataba (release clause) kiasi cha pesa ambacho timu inayomtaka inapaswa kukitoa ili kuuvunja mkataba au mchezaji mwenyewe akitaka kuvunja mkataba analipa hiyo pesa
Jamaa wamekurupuka vibaya mno, Dube sio mchezaji wa kutoa mil 500 useme unalipa kisasi kwa AzamUnakurupuka kumchukua mzee wa pancha kwa gharama kubwa tena mchezaji wa kigeni halafu unasema umelipa kisasi. Huu ni zaidi ya u -hamnazo kama alivyosema Manara .
Debit nini na credit nini?Tunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa
Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu
Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa
Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne
Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu
Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee
View attachment 3028962
View attachment 3028964
Hata fei aliondoka yanga baada ya kuilipa yanga 112M basi.dube after signing his new contract alipewa 100k usd na azam then yanga wamempa 100k usd. total 200k kawa lipa azam. Acha kukaza kichwa yanga awaja lipa hiyo pesa yote.
misinformation hii
"Uzuri wa huu mchezoKwa kifupi hapo wamepigwa Dube sio mchezaji wa kutoa mil.500+ Yanga wamepigwa
Kwanza mchezaji mwenyewe ni gari la mkaa trip moja shamba moja garage toka afike nchi hii hajawahi kumaliza msimu mzima bila kuwa nje kwa majeraha
Feisal ambaye sio namba 9 kama yeye amecheza msimu mmoja tu azam amefunga magoli mengi kuliko magoli aliyofunga Dube kwenye msimu wake wowote bora toka atue nchi hii ikiwa ni zaidi ya misimu minne sasa
Kwa uwezo wake na rekodi zake kwa mchezaji wa aina hiyo aliyekuwa kabakisha mwaka mmoja azam Yanga wangepigwa hela nyingi sana ni 200mil
SIna shaka msimu ujao Mzize atakuwa na msaada mkubwa kuliko huyo Dube na hata goli 07 hawezi vusha
jidanganyeTunajua mlikua na maumivu na kisasi cha kunyanganywa mchezaji wenu pendwa Fei Toto, ila mmelipiza kisasi kwa maumivu na hasara kubwa
Fei toto aliondoka kwa kiasi cha 100m kiasi ambacho kilikua kwenye kipengele chake cha kuvunja mkataba ana aliondoka akiwa wa moto kwelikweli super star wa timu
Dube Kaondoka Azam kwa kiasi cha 520m kwa pesa ya kitanzania ni kiasi ambacho kilikua kwenye mkataba wake pale anapotaka kuuvunja, yanga wamempa dube pesa hizo na amelipa
Dude yupo hapa tanzania kwa misimu 4 kama kinara wa eneo la ushambuliaji hapo Azam Fc ila hawai kuibuka mfungaji bora wa Ligi kuu toka atue nchini, wala hajawai kuingia top 3 ya wafungaji bora wa msimu kwa misimuyote hiyo minne
Mayele,Saidoo,Aziz k wamekuja wameibuka wafungaji bora na wameondoka wamemua yupo yupo tu anapuyanga,akina mukwala wanakuja wataibuka wafungaji bora dube yupo tu
Niitimishe kwa kusema kua hii ni hasara wazee
View attachment 3028962
View attachment 3028964
Ngumu kupata minara 5 na 7. Shida ya vitimu vyetu hivi vitakamia vijikusanye nyuma ili visifungwe magoli mengi.Mbumbumbu fc vilio vitaendelea, Yanga haina lengo zuri na soka la bongo, yaani Yanga ina masifa , imenunua drone missile (Dube) eti kuja kuulia mbu tu!! Msimu mpya Yanga itatoa vipigo vya 7G tu, ila hata Aziz Ki alipokuja maelezo ya hasara za kihasibu yalikuwa hayahaya!
Ukweli Yanga ni timu kali kwasasa mchezaji akija akafit kwenye mfumo anawaka kweli kweli mf Mudathir wa Azam si Mudathir wa Yanga, huyu Dube siku akiwaka , Yanga itazionea sana underdogs kama Simba, JKT, ihefu nk, si ajabu tukaona minara ya 6G au 7G
Mi bado namkubali sana Kennedy Musonda kuliko Guede, iwapo watacheza double striker Dube na Musonda nyuma yao kuna Chama, Ki Aziz, Max, Pacome,Mudathir na Aucho , Yanga itakuwa hatari zaidi ya danger itakuwa ni kupiga tu my wetu 7G bila huruma!
Yanga ya msimu ujao ni kali hapa bongo tunawaonea tu ni vizuri tukiomba mechi na PSG kupitia Hakimi kwa kuwaonesha lile bao la Aziz Ki dhidi ya Mamelodi!!