Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Hii timu ndugu yangu utopolo inaongozwa kwa miemuko na fuata mikumbo ya misifa sifa ya kijinga
 
Utopolo wanaupita huu Uzi kama vile wanaaga maiti
 
Reactions: K11
Dube ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana.
huko Azam hajafanya chochote kuisaidia timu yake kitaifa na kimataifa.
na kwa kipindi chake chote TZ hajawahi kuwa mfungaji bora wa ligi pamoja kuwa katika timu nzuri ya Azam.
kilicho mpandisha Dube ni kubahatisha kuifunga Simba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…