Na mbadilike kweli.Vyura ninyi wenye kamdomo.Yanga inapaswa tubadilike
Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache
Wanakariri..kocha nasikia ni fundi mbao huko Africa kusiniSasa point 8 unafikiri wangezipatia wapi Sheikh?
We kule mbele umemuweka Mpumelelo ambaye kwenye mechi 6 anakupa goli 1 na lita 200 za jasho, unategemea kipi cha tofauti na hiki walichokipata?
Huyu naye Musonda amekaa sana benchi tangu ana kipara mpaka sasa ana rasta ndefu kumzidi Kibu.
Mtu huyo aliyekaa sana benchi mpaka naskia akitembea ananukia mbao eti kocha anakuja kumchezesha mechi ya maamuzi kama double striker kule mbele wawe wawili akisaidiana na Mpumelelo.
Haya una Mzize so far alikuwa na game nzuri mechi yake na Tp Mazembe, mechi nzuri haina maana akose ubunifu naona hii kitu walishindwa kumshauri.
Kila mpira anaoupata yeye ni kufumua mashuti tu bila kuangalia aina ya mpinzani na iana ya game approach na demand yake.
Game ya maamuzi ambayo maamuzi magumu yapo upande wenu hauwezi kuja na mbinu za jana ili kumkabili adui wa leo.
Alikua anatafuta kiki nyingine kama lile goli alilowafunga Mazembe..so akawa ana butua tuuSasa point 8 unafikiri wangezipatia wapi Sheikh?