kihistoria Yanga haijawai kupata zaidi ya point 8 kwenye makundi ya ligi ya mabingwa. Inapaswa ibadilike misimu ujao

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Yanga inapaswa tubadilike

Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache.

Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage.

Makundi yote hakuna timu hata moja iliyovuka na point 8.

Hata mwaka jana ni yanga peke yake ilienda robo na point 8. Katika makundi yote. Waliovuka Wengine wote walifikisha points zaidi ya 8
 
Sasa point 8 unafikiri wangezipatia wapi Sheikh?

We kule mbele umemuweka Mpumelelo ambaye kwenye mechi 6 anakupa goli 1 na lita 200 za jasho, unategemea kipi cha tofauti na hiki walichokipata?

Huyu naye Musonda amekaa sana benchi tangu ana kipara mpaka sasa ana rasta ndefu kumzidi Kibu.

Mtu huyo aliyekaa sana benchi mpaka naskia akitembea ananukia mbao eti kocha anakuja kumchezesha mechi ya maamuzi kama double striker kule mbele wawe wawili akisaidiana na Mpumelelo.

Haya una Mzize so far alikuwa na game nzuri mechi yake na Tp Mazembe, mechi nzuri haina maana akose ubunifu naona hii kitu walishindwa kumshauri.

Kila mpira anaoupata yeye ni kufumua mashuti tu bila kuangalia aina ya mpinzani na iana ya game approach na demand yake.

Game ya maamuzi ambayo maamuzi magumu yapo upande wenu hauwezi kuja na mbinu za jana ili kumkabili adui wa leo.
 
Wanakariri..kocha nasikia ni fundi mbao huko Africa kusini
 
Alikua anatafuta kiki nyingine kama lile goli alilowafunga Mazembe..so akawa ana butua tuu
 
Back
Top Bottom