Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Na dawa yakuzuia tatizo ilo embu Fanya nitumia namba yakeMdogo wangu hata kwenye private anatapika hapendi safari hata kidogo.π
Shukuru Mungu ni rababendi mi ningekuwekea kwenye soksi!Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
Yaan kama Mimi ni mhanga huwa nikipanda gari liwe kubwa au dogo, iwe bajaji yaan ni tabu tu ..nikishapanda sikai dakika tano kabla mambo hayajaharibika...nikisikia kusafiri tu naanza kuchefukwa , sitamani kabisa safari. Hii mifuko ndiyo mkombozi.Kwanini watoto wa kike wengi hii hali huwa inawatokea Mara nyingi?
Pole sana asee, tafuja jabaYaan kama Mimi ni mhanga huwa nikipanda gari liwe kubwa au dogo, iwe bajaji yaan ni tabu tu ..nikishapanda sikai dakika tano kabla mambo hayajaharibika...nikisikia kusafiri tu naanza kuchefukwa , sitamani kabisa safari. Hii mifuko ndiyo mkombozi.
Hahahahahaha dah ...eti jabaPole sana asee, tafuja jaba
Pole yake jamani hili tatizo mimi pia ninalo ila limepungua kwa 90%Mdogo wangu hata kwenye private anatapika hapendi safari hata kidogo.[emoji16]
Ngoja tuone watu watakuja na vifungashio tofauti vizuri tu sema nahofia gharama tuYaan kama Mimi ni mhanga huwa nikipanda gari liwe kubwa au dogo, iwe bajaji yaan ni tabu tu ..nikishapanda sikai dakika tano kabla mambo hayajaharibika...nikisikia kusafiri tu naanza kuchefukwa , sitamani kabisa safari. Hii mifuko ndiyo mkombozi.
Zamani tulikuwa tunatapikia kwenye vitenge ukifika unafua, itabidi zama zile zirudiHahahahahaha dah ...eti jaba
Itabidi tutafute mbadala tu safari haziepukiki aisee ila nawaza
Ni ugonjwa!!! Unaitwa Movement disorderKwanini watoto wa kike wengi hii hali huwa inawatokea Mara nyingi?
Yaan kuna wakati nilifanya hivyo kitenge hakikutosha na hapo nakuwa sijala chichote ni maji tu yanatoka...sijui yanatokaga wapiZamani tulikuwa tunatapikia kwenye vitenge ukifika unafua, itabidi zama zile zirudi
Hahaha ulivyoongea kama muhenga vileZamani tulikuwa tunatapikia kwenye vitenge ukifika unafua, itabidi zama zile zirudi
Itakuwa afadhali aiseeNgoja tuone watu watakuja na vifungashio tofauti vizuri tu sema nahofia gharama tu
Daah poleYaan kuna wakati nilifanya hivyo kitenge hakikutosha na hapo nakuwa sijala chichote ni maji tu yanatoka...sijui yanatokaga wapi
Mimi muhenga ndioHahaha ulivyoongea kama muhenga vile
Pole yake jamani hili tatizo mimi pia ninalo ila limepungua kwa 90%