KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake

Kwanini watoto wa kike wengi hii hali huwa inawatokea Mara nyingi?
Yaan kama Mimi ni mhanga huwa nikipanda gari liwe kubwa au dogo, iwe bajaji yaan ni tabu tu ..nikishapanda sikai dakika tano kabla mambo hayajaharibika...nikisikia kusafiri tu naanza kuchefukwa , sitamani kabisa safari. Hii mifuko ndiyo mkombozi.
 
Pole sana asee, tafuja jaba
 
Hahaaaa tutazoea tu.
Wenzetu naona washazoea.
 
Yaan kama Mimi ni mhanga huwa nikipanda gari liwe kubwa au dogo, iwe bajaji yaan ni tabu tu ..nikishapanda sikai dakika tano kabla mambo hayajaharibika...nikisikia kusafiri tu naanza kuchefukwa , sitamani kabisa safari. Hii mifuko ndiyo mkombozi.
Ngoja tuone watu watakuja na vifungashio tofauti vizuri tu sema nahofia gharama tu
 
Zamani tulikuwa tunatapikia kwenye vitenge ukifika unafua, itabidi zama zile zirudi
Yaan kuna wakati nilifanya hivyo kitenge hakikutosha na hapo nakuwa sijala chichote ni maji tu yanatoka...sijui yanatokaga wapi
 
Back
Top Bottom