KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake

Wewe ulifanyaje had likapungua kiasi hicho?
Tatizo lilipungua lenyewe baada ya kuwa napanda magari mara kwa mara. Nilivyoanza kuishi Dar karibu kila siku napanda daladala nikazoea sasa hivi siisikii tena hiyo hali, sasa hivi hata nikiwa na safari ya mbali kutapika labda nifanye uzembe tu mwenyewe na mara ya mwisho kutapika ilikuwa 2011
 
Acha kukurupuka, ujuaji mwingi mbele giza
 
Dah hongera ...Mimi nikiwa chuo nilikuwa nimepanga mbali na chuo ilikuwa mateso kila siku majanga ikabid nihamie tu karibu na chuo
 
Dah hongera ...Mimi nikiwa chuo nilikuwa nimepanga mbali na chuo ilikuwa mateso kila siku majanga ikabid nihamie tu karibu na chuo
Aisee pole, dada yangu pia ana tatizo hili na kila siku anapanda daladala
 
Ni kihoja ama ulikuwa na maana ya kiroja/kioja? Mweeee!!?!
 
Wazuie tu mifuko tutakuwa tunabebea kwenye kondom ili nazo waje wazipige marufuku
 
Mimi nimeenda kununua nyama ya ng'ombe nikafungashiwa kwenye makasha ya majani ya migomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…