Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Ahsante mwaya
Daah pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah pole
Tatizo lilipungua lenyewe baada ya kuwa napanda magari mara kwa mara. Nilivyoanza kuishi Dar karibu kila siku napanda daladala nikazoea sasa hivi siisikii tena hiyo hali, sasa hivi hata nikiwa na safari ya mbali kutapika labda nifanye uzembe tu mwenyewe na mara ya mwisho kutapika ilikuwa 2011Wewe ulifanyaje had likapungua kiasi hicho?
Acha kujizeesha mama, utakosa vingi ukubwa sio mzuri au waoni wenzako wa kina loveness diva, aunty uwoya kila siku wa na miaka 23Mimi muhenga ndio
Acha kukurupuka, ujuaji mwingi mbele gizaViongozi wetu ni hovyo kabisa. Kwa nini hawapangi mambo? Unajua mtu anapoamka kutoka kwenye usingizi halafu anakurupuka na kusema kuanzia ........ (akitaja tarehe za karibuni), hakuna kutumia bidhaa fulani ni uhuni na ujinga usiopimika. Kwa nini wasitoe muda watu wakajindaa na wale wenye stock walizonunua kihalali wakamaliza? Bado wanarudia tena yale makosa ya kupiga marufuku viroba yaliyosababisha mpaka watu wengine wajiue kwa kupata hasara. Ni kweli mifuko ya plastic ni mibaya kwa mazingira au viroba vilikuwa vibaya kwa afya za watu lakini wanashindwa nini kutoa muda ili watu wajipange na wale wafanyabiasha waliokuwa wamenunua stock kubwa kwa kuuza wamalize? This African rulers think about their stomatch and their families only!
Acha kujizeesha mama, utakosa vingi ukubwa sio mzuri au waoni wenzako wa kina loveness diva, aunty uwoya kila siku wa na miaka 23
au kama vipi jaribu kutumia pulizo zile za watoto.Nitaanza kutembea na food containers
Asee pole sana, watoto wa kike wengi wKo hiviYaan kuna wakati nilifanya hivyo kitenge hakikutosha na hapo nakuwa sijala chichote ni maji tu yanatoka...sijui yanatokaga wapi
Ile harufu ya mafuta naona sio rfiki kabisa
Ahsante mkuu..kuna hadi dawa huwa nameza lakini wapiAsee pole sana, watoto wa kike wengi wKo hivi
Nimekupata vizuri muhenga mwenzanguWameona faida ya kujidogosha, mimi nisiyeona faida ya nini nifanye hivyo
Dah hongera ...Mimi nikiwa chuo nilikuwa nimepanga mbali na chuo ilikuwa mateso kila siku majanga ikabid nihamie tu karibu na chuoTatizo lilipungua lenyewe baada ya kuwa napanda magari mara kwa mara. Nilivyoanza kuishi Dar karibu kila siku napanda daladala nikazoea sasa hivi siisikii tena hiyo hali, sasa hivi hata nikiwa na safari ya mbali kutapika labda nifanye uzembe tu mwenyewe na mara ya mwisho kutapika ilikuwa 2011
[emoji23][emoji23][emoji23]Hili katazo La mifuko Ya Plastic(Rambo) litatuua, nmenunua chapati wamenifungia na rababend[emoji2948]
Aisee pole, dada yangu pia ana tatizo hili na kila siku anapanda daladalaDah hongera ...Mimi nikiwa chuo nilikuwa nimepanga mbali na chuo ilikuwa mateso kila siku majanga ikabid nihamie tu karibu na chuo
Kwani hamuwezi kusafiri na kondom?Sijui mdogo wangu atatapika wapi?/labda akome safari.
DuhKwani hamuwezi kusafiri na kondom?