Kihongosi: Kikinuka hapa Lissu ana endazake Ubelgiji

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa maendeleo yao binafsi na ya Mkoa.

Mhe. Kihongosi amebainisha hayo mapema leo Jumanne Julai 22, 2025 wakati akizungumza na Wajasiriamali na wamiliki wa saluni za Kike na za Kiume na watoa huduma ya mapambo Mkoani hapa, ikiwa ni muendelezo wa programu yake ya kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, kujitambulisha kwao na kusikiliza kero za mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi.

Nje ya Viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Arusha akiambatana na Viongozi wa Wilaya ya Arusha pamoja na Wakuu wa Idara mbalimbali, Mhe. Kihongosi ametumia nafasi hiyo pia kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua Viongozi waadilifu watakaokuwa chachu ya maendeleo na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na maendeleo ya Mkoa kwa ujumla.

Katika Maelekezo yake, Mhe. Kihongosi pia amesisitiza watoa huduma hao kutoa huduma stahiki kwa wateja wanaofika kwenye maeneo yao ya kazi, akiwakumbusha kuwa Jiji la Arusha ni Jiji la Kitalii na lenye kutembelewa na wageni wengi hivyo ni muhimu huduma zao ziendane na hadhi ya wageni hao wa Kitaifa na Kimataifa na kuwa sehemu ya kukuza Utalii kwa huduma nzuri na kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Mkoani Arusha.

Mhe. Kihongosi amekemea pia tabia ya matumizi ya nguvu kupitiliza, ubabe pamoja na lugha mbaya pale Maafisa wa Serikali na wa Mamlaka ya mapato nchini TRA wanapokwenda kudai tozo na makusanyo mbalimbali ya serikali, akibainisha kuwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa na ukusanyaji rafiki wa makusanyo ya serikali na kujiepusha na dhulma na kuwa sababu ya kuua biashara za Wananchi.

Aidha Mhe. Kihongosi ameahidi kufanyia kazi mapendekezo na kero zote zilizowasilishwa kwake na watoa huduma ya Saluni Mkoani Arusha, ikiwemo changamoto ya Ongezeko kubwa la watoa huduma hiyo nje ya utaratibu.

Chanzo:Time Tv​
 
View attachment 3415423
Chanzo:Time Tv​
Tatizo ndio hilo, wimbo ule ule hamna sababu ya maana
 
Ndo walichobakiza hawana ajenda
 
Mpumbavu huyu.

Kwa nini kindle kama kuna amani na haki. Kwa nini kila siku wanazungumxia kikinuka....!!? Wao ndiyo inaelekea wanataka kukinukisha kama hawashindi uchaguzi.
 
Sanduku la kura
 
Mkuu wa mkoa huko Ubelegiji atakwenda kwa sababu unataka kumteka kumuua kuwabambikia kesi za uongo, Lakini kama unatenda haki huna uonevu manyanyaso kama sasa hakuna wa kukimbia Nchi
 
Mkuu wa mkoa yeye anaamini uonevu, manyanyaso , utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo Chadema ni sawa kwa kuwa yeye ndiyo mtekelezaji wa huo unyama
 
Back
Top Bottom