bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
Kwani tunampigania lissu au tunampigania maisha yetu. Kipindi Kenya wanaanza fujo zao kwa kipindi hiki WATU walizani odinga NDO CHANZO CHA yote ikafika hatua odinga akaa PEMBENI BADO WATU wakakinukisha akajitokeza kuwazuia hawakumsikliza na hawamsikilizi SABABU WAO walitaka MTU WA kuamsha TU tosha hata odinga akichukua uraia WA taifa jingne WAO wataendeleza walipo ishia HALI imekua mbaya SASA raia wanawapiga MPAKA polisi YOTE HIYO nikupigania maisha YAO na vizazi vyao kwa HIYO lisu hata ahamie ubelgiji watanzania wata ENDELEA kujipigania WAO lisuu akizuia hata ye hawato msikiliza. Angalieni MSUMBIJI walipo kinukisha kiongozi ALIKUA NJE ILA maskini wanajipigania MANA WAO NDO walengwa lissu hata asipo tupigania halali njaa akiugua HUYO ulaya sisi JE? wapeni WATU maisha Bora msiwateke hoja ijibiwe kwa hoja muone USUMBUF utatoka wapi. HUO muda utafikafa TU hata kama SI tutakua tumekufa na amini itagika WATU wataona liwalo na liwe tufe sisi wafe WAO. Ivory coast walikuwaga kama sisi ILA walipo choka damu zilitapakaa mtaani ACHeni TU wakuuu.
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow
Kwishaaaaa
Bro Alex on da beats yoow