Kihongosi: Kikinuka hapa Lissu ana endazake Ubelgiji

Kenan ni kijana ila cha ajabu anatumia mbinu za Mzee Wassira na IGP wa zamani Omar Mahita kupenyeza hofu kwenye jamii.Anatumia mbinu za medieval ages (za za kale sana/giza) kwenye ulimwengu huu kurubuni watu.Nonsense kabisa!
 
Senge kweli kihongosi usituuzie woga hatuununui kwa gharama yoyote .. mxiewwww
 
Ataendaje ubelgiji wakati kwa Sasa viongozi wa CHADEMA hawaruhusiwi kutoka nje ya nchi na Wala kuongea na waandishi wa habari.
Kwanza Mbowe anataka Lisu afie jela ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba alivyofanya kwa CUF
 
Amani anayoizungumzia huyo chawa wa ccm ni kukubaliana na ushenzi wa ccm wa kupora haki za kikatiba za wananchi.
 
Kuna haja yakupima IQ za watu kabla yakuwapa majukumu makubwa.

Kwaheri Damascus - Safarini Rostov-Russia.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenani Kihongosi, ametilia mkazo umuhimu wa kudumisha amani na utulivu hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba. Ametoa rai kwa vijana na wananchi wote wa Arusha kujiepusha na watu wenye ajenda za uchochezi, vurugu au maandamano yasiyo na tija, na badala yake wawe chachu ya maendeleo na mshikamano. Amani ni msingi wa ustawi wa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla.
 
Kikinuka anaenda Ubelgiji ila kuongelea watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuwawa aaaahh.
 
Kijana moja ya waliopata hela nyingi kupitia mamlaka na rushwa hana anachojua kuhusu wananchi. Afadhali Makonda ana uwezo wa kuongea lugha ya wananchi ila huyu ni uwezo wake mdogo kabisa, yaani badala aongelee mazuri ya serikali, fursa zilizopo kwa vijana na namna ya kupambana analeta ngojera za oha Amani, je mdude yupo wapi???
 
Abdul, wanu,mchengelwa,kizimkazi nao wanakimbia au watabaki????🤔🤔🤔
 
Huyu jamaa niliwahi kukaa kuzungumza naye kwa dakika zisizozidi 10 kipindi akiwa mwenyekiti sijui katibu wa UVCCM. Ndani ya muda huo mfupi niliweza kugundua alivyo kilaza. Anazungumza hoja ambazo hata mnywa wanzuki huko kijijini akiwa smart kidogo tu anamzidi! Alisema kasoma bachelor of leadership sijui wapi wapi huko.

Hata kimaadili niliona ni zero, maana kilichokatisha maongezi yetu ni demu aliyekuwa kakaa karibu pembeni kidogo, jamaa aliishia kubebana na yule demu pamoja na kuwa katika ziara ya rais tena mbele ya umati wa maelfu ya watu! Yaani rais anahutubiaa, kijana wake pembeni kidogo ya jukwaa anakomaa na demu.

Nilishangaa sana kuona mtu wa namna hiyo anapewa nafasi za uongozi. Kuwa na viongozi wa namna hii ni ishara kuu kwamba nchi hii hatuwezi kufika popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…