Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenani Kihongosi, ametilia mkazo umuhimu wa kudumisha amani na utulivu hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba. Ametoa rai kwa vijana na wananchi wote wa Arusha kujiepusha na watu wenye ajenda za uchochezi, vurugu au maandamano yasiyo na tija, na badala yake wawe chachu ya maendeleo na mshikamano. Amani ni msingi wa ustawi wa mtu binafsi, jamii na taifa kwa ujumla.
Si wanatuona raia mapoyoyo yaani wanatumia njiabya hofubili kuogopesha wengi ambao hawana elimu ya siasa vizuri.Anaendaje wakati mmewazuia kusafiri kwa nini wanauza hofu kwa raia
Hizi sio zama za mawe watu wana uelewa mkubwa sana.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa maendeleo yao binafsi na ya Mkoa.
Mhe. Kihongosi amebainisha hayo mapema leo Jumanne Julai 22, 2025 wakati akizungumza na Wajasiriamali na wamiliki wa saluni za Kike na za Kiume na watoa huduma ya mapambo Mkoani hapa, ikiwa ni muendelezo wa programu yake ya kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, kujitambulisha kwao na kusikiliza kero za mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi.
Nje ya Viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Arusha akiambatana na Viongozi wa Wilaya ya Arusha pamoja na Wakuu wa Idara mbalimbali, Mhe. Kihongosi ametumia nafasi hiyo pia kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua Viongozi waadilifu watakaokuwa chachu ya maendeleo na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na maendeleo ya Mkoa kwa ujumla.
Katika Maelekezo yake, Mhe. Kihongosi pia amesisitiza watoa huduma hao kutoa huduma stahiki kwa wateja wanaofika kwenye maeneo yao ya kazi, akiwakumbusha kuwa Jiji la Arusha ni Jiji la Kitalii na lenye kutembelewa na wageni wengi hivyo ni muhimu huduma zao ziendane na hadhi ya wageni hao wa Kitaifa na Kimataifa na kuwa sehemu ya kukuza Utalii kwa huduma nzuri na kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Mkoani Arusha.
Mhe. Kihongosi amekemea pia tabia ya matumizi ya nguvu kupitiliza, ubabe pamoja na lugha mbaya pale Maafisa wa Serikali na wa Mamlaka ya mapato nchini TRA wanapokwenda kudai tozo na makusanyo mbalimbali ya serikali, akibainisha kuwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa na ukusanyaji rafiki wa makusanyo ya serikali na kujiepusha na dhulma na kuwa sababu ya kuua biashara za Wananchi.
Aidha Mhe. Kihongosi ameahidi kufanyia kazi mapendekezo na kero zote zilizowasilishwa kwake na watoa huduma ya Saluni Mkoani Arusha, ikiwemo changamoto ya Ongezeko kubwa la watoa huduma hiyo nje ya utaratibu.
View attachment 3415423
Chanzo:Time Tv
Kukiwa na haki hakuna atakayekwenda hata Kenya hapo. Bado anatembelea hizo propaganda outdated?Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa maendeleo yao binafsi na ya Mkoa.
Mhe. Kihongosi amebainisha hayo mapema leo Jumanne Julai 22, 2025 wakati akizungumza na Wajasiriamali na wamiliki wa saluni za Kike na za Kiume na watoa huduma ya mapambo Mkoani hapa, ikiwa ni muendelezo wa programu yake ya kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, kujitambulisha kwao na kusikiliza kero za mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi.
Nje ya Viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Arusha akiambatana na Viongozi wa Wilaya ya Arusha pamoja na Wakuu wa Idara mbalimbali, Mhe. Kihongosi ametumia nafasi hiyo pia kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua Viongozi waadilifu watakaokuwa chachu ya maendeleo na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na maendeleo ya Mkoa kwa ujumla.
Katika Maelekezo yake, Mhe. Kihongosi pia amesisitiza watoa huduma hao kutoa huduma stahiki kwa wateja wanaofika kwenye maeneo yao ya kazi, akiwakumbusha kuwa Jiji la Arusha ni Jiji la Kitalii na lenye kutembelewa na wageni wengi hivyo ni muhimu huduma zao ziendane na hadhi ya wageni hao wa Kitaifa na Kimataifa na kuwa sehemu ya kukuza Utalii kwa huduma nzuri na kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Mkoani Arusha.
Mhe. Kihongosi amekemea pia tabia ya matumizi ya nguvu kupitiliza, ubabe pamoja na lugha mbaya pale Maafisa wa Serikali na wa Mamlaka ya mapato nchini TRA wanapokwenda kudai tozo na makusanyo mbalimbali ya serikali, akibainisha kuwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa na ukusanyaji rafiki wa makusanyo ya serikali na kujiepusha na dhulma na kuwa sababu ya kuua biashara za Wananchi.
Aidha Mhe. Kihongosi ameahidi kufanyia kazi mapendekezo na kero zote zilizowasilishwa kwake na watoa huduma ya Saluni Mkoani Arusha, ikiwemo changamoto ya Ongezeko kubwa la watoa huduma hiyo nje ya utaratibu.
View attachment 3415423
Chanzo:Time Tv
No reforms no election anataka kutrend tu huyuMkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa maendeleo yao binafsi na ya Mkoa.
Mhe. Kihongosi amebainisha hayo mapema leo Jumanne Julai 22, 2025 wakati akizungumza na Wajasiriamali na wamiliki wa saluni za Kike na za Kiume na watoa huduma ya mapambo Mkoani hapa, ikiwa ni muendelezo wa programu yake ya kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, kujitambulisha kwao na kusikiliza kero za mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi.
Nje ya Viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Arusha akiambatana na Viongozi wa Wilaya ya Arusha pamoja na Wakuu wa Idara mbalimbali, Mhe. Kihongosi ametumia nafasi hiyo pia kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua Viongozi waadilifu watakaokuwa chachu ya maendeleo na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na maendeleo ya Mkoa kwa ujumla.
Katika Maelekezo yake, Mhe. Kihongosi pia amesisitiza watoa huduma hao kutoa huduma stahiki kwa wateja wanaofika kwenye maeneo yao ya kazi, akiwakumbusha kuwa Jiji la Arusha ni Jiji la Kitalii na lenye kutembelewa na wageni wengi hivyo ni muhimu huduma zao ziendane na hadhi ya wageni hao wa Kitaifa na Kimataifa na kuwa sehemu ya kukuza Utalii kwa huduma nzuri na kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Mkoani Arusha.
Mhe. Kihongosi amekemea pia tabia ya matumizi ya nguvu kupitiliza, ubabe pamoja na lugha mbaya pale Maafisa wa Serikali na wa Mamlaka ya mapato nchini TRA wanapokwenda kudai tozo na makusanyo mbalimbali ya serikali, akibainisha kuwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa na ukusanyaji rafiki wa makusanyo ya serikali na kujiepusha na dhulma na kuwa sababu ya kuua biashara za Wananchi.
Aidha Mhe. Kihongosi ameahidi kufanyia kazi mapendekezo na kero zote zilizowasilishwa kwake na watoa huduma ya Saluni Mkoani Arusha, ikiwemo changamoto ya Ongezeko kubwa la watoa huduma hiyo nje ya utaratibu.
View attachment 3415423
Chanzo:Time Tv
Kwanza Mbowe anataka Lisu afie jela ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba alivyofanya kwa CUF
Character assassinationKwanza Mbowe anataka Lisu afie jela ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba alivyofanya kwa CUF
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa maendeleo yao binafsi na ya Mkoa.
Mhe. Kihongosi amebainisha hayo mapema leo Jumanne Julai 22, 2025 wakati akizungumza na Wajasiriamali na wamiliki wa saluni za Kike na za Kiume na watoa huduma ya mapambo Mkoani hapa, ikiwa ni muendelezo wa programu yake ya kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, kujitambulisha kwao na kusikiliza kero za mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi.
Nje ya Viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Arusha akiambatana na Viongozi wa Wilaya ya Arusha pamoja na Wakuu wa Idara mbalimbali, Mhe. Kihongosi ametumia nafasi hiyo pia kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua Viongozi waadilifu watakaokuwa chachu ya maendeleo na ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na maendeleo ya Mkoa kwa ujumla.
Katika Maelekezo yake, Mhe. Kihongosi pia amesisitiza watoa huduma hao kutoa huduma stahiki kwa wateja wanaofika kwenye maeneo yao ya kazi, akiwakumbusha kuwa Jiji la Arusha ni Jiji la Kitalii na lenye kutembelewa na wageni wengi hivyo ni muhimu huduma zao ziendane na hadhi ya wageni hao wa Kitaifa na Kimataifa na kuwa sehemu ya kukuza Utalii kwa huduma nzuri na kutangaza vivutio vya Utalii vilivyopo Mkoani Arusha.
Mhe. Kihongosi amekemea pia tabia ya matumizi ya nguvu kupitiliza, ubabe pamoja na lugha mbaya pale Maafisa wa Serikali na wa Mamlaka ya mapato nchini TRA wanapokwenda kudai tozo na makusanyo mbalimbali ya serikali, akibainisha kuwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuwa na ukusanyaji rafiki wa makusanyo ya serikali na kujiepusha na dhulma na kuwa sababu ya kuua biashara za Wananchi.
Aidha Mhe. Kihongosi ameahidi kufanyia kazi mapendekezo na kero zote zilizowasilishwa kwake na watoa huduma ya Saluni Mkoani Arusha, ikiwemo changamoto ya Ongezeko kubwa la watoa huduma hiyo nje ya utaratibu.
sasa atasema nini hawana hoja za maana siku hizi,eti maandamano yasiyo na tija?Anawauzia hofu.
Mwanasiasa kijana fikra za babu wa miaka 80.
Reforms should start in the mind of Youth.
Hivi ni lini wakaazi wa Arusha waliamua wanataka yeye awe Mkuu wa Mkoa ?.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa maendeleo yao binafsi na ya Mkoa.